Wakati nipo mdogo chekechea tulikuwa tunakunywa chai shuleni. Sasa bibi yangu alikuwaga ni nesi hospitali. Kule hospitali alikuwa anafanya kazi kitengo cha lishe ya watoto. Ilikuwa kila jioni anarudi na maziwa na mikate tunajichana. Sasa siku moja amerudi na mkate wakasema ungine utunze utanywea chai shuleni. Nikalala na usongo wangu wa mkate. Asubuhi nikaenda nao shuleni na kuuweka hadi muda wa chai. Tumeenda kucheza, tumeitwa muda wa chai, kucheki kwenye mfuko mkate umebaki chenga chenga tu😭😭😭😭 roho iliniuma sana siku ile, iliniuma sana.
Itakuwa ni mijamaa ya madarasa ya juu ilipita nao. Wezi ni watu wa hovyo sana.
Mkuu! Huu ujumbe wa wezi umeuuleta kwa njia ya code! na ni wachache sana humu watakao kusoma na kukuelewa!!Wakati nipo mdogo chekechea tulikuwa tunakunywa chai shuleni. Sasa bibi yangu alikuwaga ni nesi hospitali. Kule hospitali alikuwa anafanya kazi kitengo cha lishe ya watoto. Ilikuwa kila jioni anarudi na maziwa na mikate tunajichana. Sasa siku moja amerudi na mkate wakasema ungine utunze utanywea chai shuleni. Nikalala na usongo wangu wa mkate. Asubuhi nikaenda nao shuleni na kuuweka hadi muda wa chai. Tumeenda kucheza, tumeitwa muda wa chai, kucheki kwenye mfuko mkate umebaki chenga chenga tu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] roho iliniuma sana siku ile, iliniuma sana.
Itakuwa ni mijamaa ya madarasa ya juu ilipita nao. Wezi ni watu wa hovyo sana.
Red Giant said:Wakati nipo mdogo chekechea tulikuwa tunakunywa chai shuleni. Sasa bibi yangu alikuwaga ni nesi hospitali. Kule hospitali alikuwa anafanya kazi kitengo cha lishe ya watoto. Ilikuwa kila jioni anarudi na maziwa na mikate tunajichana. Sasa siku moja amerudi na mkate wakasema ungine utunze utanywea chai shuleni....
Dogo atakumbuka na kuumia hadi kaburini.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nakumbuka tuko advance kuna dogo bonge akaletwa kuanza fm1 ,walivyo mdekeza home wakamkaangia nyama kindoo cha lita kumi kimejaa eti hawezi kula maharage.
Dogo kutoka kidogo tu kurudi anakabidhiwa ndoo yake haina hata kipande cha mnofu.
Mungu anisamehee kwenye ule upigaji
Kila Mtu ale kwa urefu wa kamba yake,hakuna kuingiliana kwenye ulaji!! Huyu Mama ndiyo Rais mzuri anaachia wenye nguvu wafanye wanavyotaka!! Rule of the Jungle "kila mnyama atakula kwa urefu wa kamba yake!!Mama kasema kuvimbiwa ndiyo kosa.