Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe pia ni wa kukulogaUsiwaroge vijana wenzako aisee.
Samehe tu, baada ya muda utapata zaidi ya hivyo walivyokuazima.
Msaada naotaka ni wa kimawazo je nifanye nini na nianziw wapi ili niweze kupata vitu vyangu.Yaani umeibiwa Nini ambacho kitakwamisha shughuli zako na ni msaada Gani unataka?
Watanzania kujielezea bado ni shida kidogo. Pole sana lakini
Wewe coca kesho nakuja huko huko mpaka nikuonesheWatu wana deal nawee, hadi useme aunt Dorry kapata wapi pesa za kukuanzishia biashara.
Unalo hili, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
enheeSema ujue nn mkuu
Yaah mkuu nazani dawa ipo jikoniWezi wa hivyo kuna kenge mmoja jirani anayejua mazingira ya home kwako kachomesha.
Naona wamezingatia jina wakaamua wauchangamshe huo ubongo, upate akili 😀😀Nawekaga kufuri mkuu
Nimekuta washatoa na kufuli lenyewe
Asee kwanza Nampa pole ndugu yetu ndo dunia ilivyo na Dunia Sio mbaya ila binadamu ndo wabayaPole mkuu Poor Brain mtafute mtaalam wa tiba asili ndugu Dogoli kinyamkela awatie adabu hao wezi
Asante mkuu pole yako nimeipokea..Asee kwanza Nampa pole ndugu yetu ndo dunia ilivyo na Dunia Sio mbaya ila binadamu ndo wabaya
Sawa mkuu usijali tupo pamojaAsante mkuu pole yako nimeipokea..
Ila naomba tuongeze nguvu zaidi kwa hawa watu
Poor Brian unoanekana ni wale vijana wachanga wadogowadogo..namana unavyoandika inanoneshaBidhaa za electronic ikiwepo flat
Na vifaa vingine vidogo vidogo
Maeneo ya hapa mtaani ambako kuna fremu pia ndo kuna chumba nachoishi
(Kutaka location specific natuma pm)
Bado sijaanza kushuku exactly ila ni hawa hawa vijana naoshinda nao hapa mtaani maana wanajua A to Z ya movement zangu
Ghalama za vitu nilivyo ibiwa kwa kukadiria ni kama laki 5 na 80
Nipo peace na watu na vijana wa hapa hvyo sizani kama kuna sababu exactly ya wao kunifanyia hvi
Sijaripoti mpaka sasa maana sijui naanzia wapi wala sijui huko polisi naenda na vitu gani hii ndo mara ya kwanza
Nipo gongo la mboto
Aaaah mkuu ni kweli mi ni kijana mdogo mdogo japo namiliki mashangazi...Poor Brian unoanekana ni wale vijana wachanga wadogowadogo..namana unavyoandika inanonesha
Umeonesha Rb ya polisi halafu unasema bado polisi hujaripoti halafu uende na Nini na nini
Location yako ni gomz biashara Iko hapo na ndio makazi yako then unaamwambia mtu utamtania pm😊
Kama ni kweli umeibiwa usisumbuke na polisi,kama gharama ni lkai 5 piga moyo konde,utazipata.tena maana polisi watatka pesa usaidiwe,hawatoki bure.sa utajikuta umemmaliza laki tatu kurejesha laki tano.na Ukute vingine vishauzwa.pole Kwa huu mtihani
Ukiweza hama hapo.vijana wengi wa maeneo ya uswahilini ni wezi
😂😂😂😂😂😂Aaaah mkuu ni kweli mi ni kijana mdogo mdogo japo namiliki mashangazi...
Uko wapi sahivi? Niko hapa Mawasiliano nakusubiri.Wewe coca kesho nakuja huko huko mpaka nikuoneshe
Coca leo nilikua hapo mawasiliano doohUko wapi sahivi? Niko hapa Mawasiliano nakusubiri.