What a coincidence! Alianza Maalim Seif, Tundu Lissu na sasa Mbowe - hii maana yake nini?

What a coincidence! Alianza Maalim Seif, Tundu Lissu na sasa Mbowe - hii maana yake nini?

Tafsiri ya picha ;

Kichowapata hao wanaoonekana picha ya mwanzo isije watokea tu waliofuatia katika picha nyingine.

Maana tarehe zilikua zinafanana.

Kwa hivyo unashuhudia kwamba Magufuri alikuwa muuaji?
 
ACT mmezuiwa kwenda Ikulu?
ACT Ni washirika wa karibu na ikulu.

Kikubwa nimegundua kuna watu wanaumia kwa mwamba kwenda ikulu, na bila shaka Ni Rais mwenyewe alimwita.

Inawezekana vipi Rais anahitaji maongezi na we kwa hali ilivyo ukaacha kwenda. Kumbuka ishu nzima ni suala la katiba.
 
Chadema bei cheee kabisa wamenunuliwa
 
Kwa mtu ambaye anajua kufikiria na kuunganisha matukio anaweza akawa ana hoja za mashiko

Kwanza tukio la malim seif na maguful halifanani kabisa na tukio lililotokea jana au tukio la wiki mbili zilizopita kati ya tundu lisu,mbowe na Samia.

Haya ni matukio mawili tofauti na tunapaswa kujua ingalikuwa nitukio la compromise maana yqke ungalikuta Mbowe hayupo ndani.

Pili angali kubali asingaliweza siku hiyo hiyo ametoka ndani na kwenda ikulu kuna mambo tunatakiwa tujifunze ukiwa na msimamo huwezi kuyumbishwa kabisa.

Maana yake yamkini hakukompromise na siyasa ni mikakati na propaganda. Yote hayo tuseme mbowe ni shujaaa alitikiswa mali zake sembuse kutoka gerezani naimani katiba ipo pale pale na msimamo upo pale pale na ataendeleza mapambano vivyo na lisu pia
Kama mbowe katinga Ikulu na kunywa chai na mama mra alipotoka jela lakini tundu lissu wakalonga na mama saa nzima, mapambano yako wap tena?

Toka Mbowe atoke jela umemskia nani chadema akimsema Rais au Serikali? Lema yuko wapi amebana kimya automatically ni wazi upinzani margio wahindi wanasema

Chadema kwisha habari yao sasa ccm ni mitano tena, upinzani umecheza pata potea nadhan ACT wata take advantage
 
Chadema sio wajinga kwa namna unavyofikiri wanasubiria vibe lipite wafanye mazungumzo then utaona nini kinaendelea utaelewa tu kaa sindano iwaingie
 
Wakifanya wengine ni Usaliti, ila wakifanya wao ni ushujaa...
kifupi wanataka wao tu ndo wawe kwenye spotlight na headlines days in days out...
And so far idiology yao imework, maana wengine wanaogopa kushambuliwa so wanakaa kimya kuwapisha wenye platform zao.
Kwani wewe nani kazuia kwenda Ikulu ?
 
Kama mbowe katinga Ikulu na kunywa chai na mama mra alipotoka jela lakini tundu lissu wakalonga na mama saa nzima, mapambano yako wap tena?

Toka Mbowe atoke jela umemskia nani chadema akimsema Rais au Serikali? Lema yuko wapi amebana kimya automatically ni wazi upinzani margio wahindi wanasema

Chadema kwisha habari yao sasa ccm ni mitano tena, upinzani umecheza pata potea nadhan ACT wata take advantage
Huu ni uchochezi Mheshimiwa. Kulonga ndiyo siasa yenyewe. Ulitakaje? Miaka 5 ya kushika dola itapatikana kwa kura halali za wananchi na inahitaji kazi mbele ya safari na siyo kwa ndoto za Alinacha.
 
mi
View attachment 2139699
View attachment 2139697

View attachment 2139698View attachment 2139698

Hii maana yake hasa ni nini? Upinzani Tanzania umekwisha? Chadema walilaumu sana kwanini kipindi kile Maalim alimtafa Magufuli Ikulu na kumsema maalim seif amewasaliti Upinzani, Lakini sasa macho yangu yanashuhudia kile kile kwa Chama cha Demkrasia na Maendeleo - CHADEMA.,

Wananchi tupate picha gani kwa viongozi wetu hawa, Je Chadema sasa Wanaitambua Serikali iliyomadarakani Tanzania? Je viongozi wa juu hawa wamefikia bei? tuliambiwa na kuaminishwa Zitto Kabwe ni CCM (B) Je! Chadema wanaenda kuwa CCM (C) ama D? au E? natamani, Hivi kina Halima Mdee na wenzake nao waliwahi mapema zaidi kwenye hili?

Mbowe anatoka jela bila kuona familia yake kwanza anaenda kuonana na Rais Ikulu? Je kuna rushwa ya kisiasa, mbona giza ni nene?

Binafsi niko njia panda., Siioni CCM ikiondoka madarakani naona kama vile nido kwanza wanajichimbia chini zaidi mizizi yao., Tuunge Mkono wapi? Kina James Mbatia na Mrema hao tulijuzwa na kuaminishwa kwamba tayari walishawahi siti za mbele zaidi, Je Tanzania tunahitaji chama kipya cha Upinzani kukidhi ndoto na dhana ya upinzani??

Naomba majibu wadau wadau wa Ukumbi huu.,
miccm ndio inalalamika.
 
samia kamwe hawezi kuwa kama JK, chadema na upinzani kwa ujumla waling'ara kisiasa sana awamu ya 4..Majira yamebadilika..Samia anacopy kwa Jk kwny uendeshaji wa serikali tu..ila ame-retain style ya JPM kwny ku-deal na mahasim wake kisiasa
 
Kama mbowe katinga Ikulu na kunywa chai na mama mra alipotoka jela lakini tundu lissu wakalonga na mama saa nzima, mapambano yako wap tena?

Toka Mbowe atoke jela umemskia nani chadema akimsema Rais au Serikali? Lema yuko wapi amebana kimya automatically ni wazi upinzani margio wahindi wanasema

Chadema kwisha habari yao sasa ccm ni mitano tena, upinzani umecheza pata potea nadhan ACT wata take advantage
kwani siasa nyie mnazitafsiri vipi.

Huku mtaani tunaandikiana bila kujali itikadi Lin ikija suala la viongozit kuongea inatafsiriwa kununuliwa.

Kwani nafasi ya diplomasia ktk kufikia mwafaka Ni ujinga? Inakuwaje unamdai mtu halafu hutaki kuonana nae, utalipwaje?

Ni kweli CCM tunawajua walivyo lkn inapopatikana nafasi ya kuongea inatumika halafu inaposhindikana ndipo njia nyingine huweza kutumika.

Ni upumbavu kuamini chadema utakufa, au imekufa, weka uwanja sawa wa siasa halafu uone inakuwaje.

BTW huwezi kujua Mitanzania inataka nini. Ni mijitu ya ajabu sana.
 
Ila mbowe hapo alichemka Bora hata angemjibu mama naumwa ili apate nafasi yakufikiri kidogo
 
kwani siasa nyie mnazitafsiri vipi.

Huku mtaani tunaandikiana bila kujali itikadi Lin ikija suala la viongozit kuongea inatafsiriwa kununuliwa.

Kwani nafasi ya diplomasia ktk kufikia mwafaka Ni ujinga? Inakuwaje unamdai mtu halafu hutaki kuonana nae, utalipwaje?

Ni kweli CCM tunawajua walivyo lkn inapopatikana nafasi ya kuongea inatumika halafu inaposhindikana ndipo njia nyingine huweza kutumika.

Ni upumbavu kuamini chadema utakufa, au imekufa, weka uwanja sawa wa siasa halafu uone inakuwaje.

BTW huwezi kujua Mitanzania inataka nini. Ni mijitu ya ajabu sana.
Maalim seif alifanya hiyo diplomasia mara kadhaa ni chadema wakimuita msaliti, lakini Zitto kabwe walipokwenda kwenye mkutano wa upinzani na rais pia chadema walimsema ni ccm B, Leo tundu lissu na Mbowe kwanini wasiwe CCM C??

Unajenga hoja ya diplomasia kwa sababu aliyeenda ikulu ni kiongozi wa chadema?

Chadema ndio chama pekee cha upinzani ambacho viongozi wake wakuu wengi zaidi walisaliti na kurudi CCM., siwashangai kina lissu na mbowe tayar wamefika bei
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Nawaonea huruma wanachama wa kawaida wa upinzani tangia 1992 mpaka leo wenyewe wanaamini kunaupinzani kupitia viongozi wao lakini hawajui mengi yanayoendelea nyuma ya panzi na huwa wanaama vyama wakizani watapata upinzani wa kweli kuitoa CCM.
Ebu fikili kama huku kanisani sisi tutawapiga waumini na kuwakamua sadaka kila kuchao hata wakati mwingine tunatoa vitisho kidogo sembuse viongozi wa kisiasa. Wajinga ndio waliwao.
Kwanini mmstuki miaka 30 watu wanawadanganya ninyi bado tu basi mafala.
Mbona Zambia, Kenya, Malawi na kwingineko vyama tawala viliondoka fasta tu hamjiulizi, sasa hii kwa sasa ni aibu sana kwa Chadema kukubali kuweka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kando kweli Jela ni shule unaelewa haraka na viziru kuliko ulaiyani. KIDUMU HICHO CHAMA TAWALA.
 
Back
Top Bottom