Tafsiri ya picha ;
Kichowapata hao wanaoonekana picha ya mwanzo isije watokea tu waliofuatia katika picha nyingine.
Maana tarehe zilikua zinafanana.
Nakazia: Mdandia hoja:
View attachment 2139803
Awe wa kwanza kama nani? So what?
[/QUOT
Jamaa Hadi sura imekuwa ya kinafiki. Zitto kiburi kilimponza Sasa anataka kujisafisha mbele ya Mbowe.
ACT Ni washirika wa karibu na ikulu.ACT mmezuiwa kwenda Ikulu?
Chadema bei cheee kabisa wamenunuliwaACT Ni washirika wa karibu na ikulu.
Kikubwa nimegundua kuna watu wanaumia kwa mwamba kwenda ikulu, na bila shaka Ni Rais mwenyewe alimwita.
Inawezekana vipi Rais anahitaji maongezi na we kwa hali ilivyo ukaacha kwenda. Kumbuka ishu nzima ni suala la katiba.
Kama mbowe katinga Ikulu na kunywa chai na mama mra alipotoka jela lakini tundu lissu wakalonga na mama saa nzima, mapambano yako wap tena?Kwa mtu ambaye anajua kufikiria na kuunganisha matukio anaweza akawa ana hoja za mashiko
Kwanza tukio la malim seif na maguful halifanani kabisa na tukio lililotokea jana au tukio la wiki mbili zilizopita kati ya tundu lisu,mbowe na Samia.
Haya ni matukio mawili tofauti na tunapaswa kujua ingalikuwa nitukio la compromise maana yqke ungalikuta Mbowe hayupo ndani.
Pili angali kubali asingaliweza siku hiyo hiyo ametoka ndani na kwenda ikulu kuna mambo tunatakiwa tujifunze ukiwa na msimamo huwezi kuyumbishwa kabisa.
Maana yake yamkini hakukompromise na siyasa ni mikakati na propaganda. Yote hayo tuseme mbowe ni shujaaa alitikiswa mali zake sembuse kutoka gerezani naimani katiba ipo pale pale na msimamo upo pale pale na ataendeleza mapambano vivyo na lisu pia
Chadema sio wajinga kwa namna unavyofikiri wanasubiria vibe lipite wafanye mazungumzo then utaona nini kinaendelea utaelewa tu kaa sindano iwaingieKama mbowe katinga Ikulu na kunywa chai na mama mra alipotoka jela lakini tundu lissu wakalonga na mama saa nzima, mapambano yako wap tena?
Toka Mbowe atoke jela umemskia nani chadema akimsema Rais au Serikali? Lema yuko wapi amebana kimya automatically ni wazi upinzani margio wahindi wanasema
Chadema kwisha habari yao sasa ccm ni mitano tena, upinzani umecheza pata potea nadhan ACT wata take advantage
Kwani wewe nani kazuia kwenda Ikulu ?Wakifanya wengine ni Usaliti, ila wakifanya wao ni ushujaa...
kifupi wanataka wao tu ndo wawe kwenye spotlight na headlines days in days out...
And so far idiology yao imework, maana wengine wanaogopa kushambuliwa so wanakaa kimya kuwapisha wenye platform zao.
Huu ni uchochezi Mheshimiwa. Kulonga ndiyo siasa yenyewe. Ulitakaje? Miaka 5 ya kushika dola itapatikana kwa kura halali za wananchi na inahitaji kazi mbele ya safari na siyo kwa ndoto za Alinacha.Kama mbowe katinga Ikulu na kunywa chai na mama mra alipotoka jela lakini tundu lissu wakalonga na mama saa nzima, mapambano yako wap tena?
Toka Mbowe atoke jela umemskia nani chadema akimsema Rais au Serikali? Lema yuko wapi amebana kimya automatically ni wazi upinzani margio wahindi wanasema
Chadema kwisha habari yao sasa ccm ni mitano tena, upinzani umecheza pata potea nadhan ACT wata take advantage
miccm ndio inalalamika.View attachment 2139699
View attachment 2139697
View attachment 2139698View attachment 2139698
Hii maana yake hasa ni nini? Upinzani Tanzania umekwisha? Chadema walilaumu sana kwanini kipindi kile Maalim alimtafa Magufuli Ikulu na kumsema maalim seif amewasaliti Upinzani, Lakini sasa macho yangu yanashuhudia kile kile kwa Chama cha Demkrasia na Maendeleo - CHADEMA.,
Wananchi tupate picha gani kwa viongozi wetu hawa, Je Chadema sasa Wanaitambua Serikali iliyomadarakani Tanzania? Je viongozi wa juu hawa wamefikia bei? tuliambiwa na kuaminishwa Zitto Kabwe ni CCM (B) Je! Chadema wanaenda kuwa CCM (C) ama D? au E? natamani, Hivi kina Halima Mdee na wenzake nao waliwahi mapema zaidi kwenye hili?
Mbowe anatoka jela bila kuona familia yake kwanza anaenda kuonana na Rais Ikulu? Je kuna rushwa ya kisiasa, mbona giza ni nene?
Binafsi niko njia panda., Siioni CCM ikiondoka madarakani naona kama vile nido kwanza wanajichimbia chini zaidi mizizi yao., Tuunge Mkono wapi? Kina James Mbatia na Mrema hao tulijuzwa na kuaminishwa kwamba tayari walishawahi siti za mbele zaidi, Je Tanzania tunahitaji chama kipya cha Upinzani kukidhi ndoto na dhana ya upinzani??
Naomba majibu wadau wadau wa Ukumbi huu.,
kwani siasa nyie mnazitafsiri vipi.Kama mbowe katinga Ikulu na kunywa chai na mama mra alipotoka jela lakini tundu lissu wakalonga na mama saa nzima, mapambano yako wap tena?
Toka Mbowe atoke jela umemskia nani chadema akimsema Rais au Serikali? Lema yuko wapi amebana kimya automatically ni wazi upinzani margio wahindi wanasema
Chadema kwisha habari yao sasa ccm ni mitano tena, upinzani umecheza pata potea nadhan ACT wata take advantage
Maalim seif alifanya hiyo diplomasia mara kadhaa ni chadema wakimuita msaliti, lakini Zitto kabwe walipokwenda kwenye mkutano wa upinzani na rais pia chadema walimsema ni ccm B, Leo tundu lissu na Mbowe kwanini wasiwe CCM C??kwani siasa nyie mnazitafsiri vipi.
Huku mtaani tunaandikiana bila kujali itikadi Lin ikija suala la viongozit kuongea inatafsiriwa kununuliwa.
Kwani nafasi ya diplomasia ktk kufikia mwafaka Ni ujinga? Inakuwaje unamdai mtu halafu hutaki kuonana nae, utalipwaje?
Ni kweli CCM tunawajua walivyo lkn inapopatikana nafasi ya kuongea inatumika halafu inaposhindikana ndipo njia nyingine huweza kutumika.
Ni upumbavu kuamini chadema utakufa, au imekufa, weka uwanja sawa wa siasa halafu uone inakuwaje.
BTW huwezi kujua Mitanzania inataka nini. Ni mijitu ya ajabu sana.