What a surprise, Al-Jawlani, the head of HTS that overthrew Syria President, is Jewish !

What a surprise, Al-Jawlani, the head of HTS that overthrew Syria President, is Jewish !

Waarabu wameyavagaa. Mara 1000 Assad angebakia.
Waarabu wana fighting spirit ila ni wapumbavu sana. Hawajielewi.
 
Yan makundi yote ya kigaidi yana uhusiano mkubwa sana na wamarekani na waisraeli..na hao vibaraka wengine kama ufaransa,uberigiji,uturuki n.k
 
Ule utulivu wa Wa Al-Jawlani kwa jicho la ndani unatoa tafsiri fulani kubwa sana.

CIA na Mossad ni back to back agents ambao malengo na operations zao ni nyingi sana.
Long term plan na short term plan zao ni hatari sana maana zina uwanja mpana na zinahisisha watu wa Kila aina kwa maslahi yao mapana.

Ni KGB/FSB anayeweza kupambana na hawa watu japo matatizo ya kiuchumi pia yameizoofisha Russia na taasisi zake nyeti.

Inawezekana malengo ya muda mrefu ya CIA na Mossad kwa Al-Jawlani yamejibu na kuleta matokeo chanya wakati muafaka ambapo Israeli alikuwa kitanzini dhidi ya Hizbollah na Iran, kama ni kweli basi hii itakuwa karata muhimu sana kwa mazayuni na USA na hasara kubwa sana kwa Iran, Hizbollah, Palestina, Syria nk. Tunasema the manipulation of middle east is going well.
Source ya habari ni Israel News
Habari ya kichonganishi wamchukie waanze kupigana vita
VITA NI BIASHARA YA WATU
 
Hawa Khazars huwa ni manipulators , kuna vitu vinatokea , wapumbavu wanakenua meno na kufurahia ,kumbe mazayuni ,puppets masters wako behind the scene wanaoperate agenda zao , doesn't make sense ufanye replacement ya Assad na hao vibaka ,hao vibaka ni worse na Ndio waliokuwa members WA Alqaida na ISIS , hao wananchi nao wapumbavu wakaamua kuungana na hao magaidi kureplace serikali , nikikumbuka ushenzi waliofanya Allepo hao Syria na wengi walikuwa mercenaries ,most likely funded by USA ,Israel na mataifa mengine ya kishenzi ,kuna proof ya kwamba walikuwa wanakuja kutibiwa Tel Aviv kipindi kile wanatengwa na Assad ,maana Assad aliwakaanga haswa bila huruma kipindi kile ,huku Hezbollah wakitoa ground support na Urusi air support ,washenzi wale wakapotea ,mpaka walivyoibuka hivi karibuni
tutajie siku hata moja tu ISIS au al quaeda waliitishia au kufanya shambulizi israel. just mention one, halafu uconclude kwamba waarabu na allah wao feki wanahitaji msaada wa akili. wanaweza kuletwa hata mirembe tu.
 
Brother, anachokifanya Israel ndicho kinachofanywa na Wanyarwanda. Washatumaliza. Wengi wameolewa na wanamuziki,wafanya biashara,walimu,majaji,wanasiasa,mapolisi,uhamiaji n.k Kwa jina la wahangaza wa Ngara. Kati ya majirani waliofanya penetration espionage ni Rwanda. Lengo lao kuu ni kudai baadae Ngara NI Rwanda. Mark my word, they have made a very good progress.
KILA siku tunajifariji Tu sisi NI miamba. Role model WA Rwanda DUNIANI NI myahudi. Kuna kipindi 2013, jamaa mmoja jeshini aligundulika NI WA huko. Wanyarwanda Kwa jina la Wahangaza wanamanipulate mambo mengi Sana nchini. Sasa Hivi wanawekeza kwenye mahoteli,maduka ya jumla,mabao,na maukumbi. We are done. Niko Lebanon but I know all shits happening there. Wana mpaka vikao vyao rasmi. Moshi,Dar,Mwanza,Bagamoyo, Arusha,NI WENGI KULIKO WANAOPATIKANA NGARA NA BIHARAMULO. HATA HUMU JAMII FORUM. NA WAKIJA WATASEMA TUNACHUKI NAO,KUMBE HILI NI SWALA LA KIUSALAMA.
Jiulize Israel ilichukua muda gani KUPANGA shambulizi la PAGERS NA WALK TALKIES? MOSSAD kuangusha ASSAD,? Uturuki inaenda kuanguka kabla ya Iran(naandika nacho kuijua. Nimekaa huku huu mwaka WA 27) New Political Order is coming in the middle East. Jordan mnajua iko chini ya Nani?
Kagame is dangerous na very keen towards implementing BAHIMA EMPIRE AGREEMENT. Hutaki kaulize Mtikila peponi!!!?
But who will tell,ITS TIME. Time never tell lies. Karbuni Beirut
Mungu azidi kuwabariki mayahudi.

Hawa wa Nyarwanda ni wepesi sana.
 
What a surprise!?!?​

Al-Jawlani, Head of HTS That Overthrew Syria President, is Jewish . . .​

Hal Turner World December 29, 2024
Al-Jawlani, Head of HTS That Overthrew Syria President, is Jewish . . .

What a surprise!?!?! The Head of HTS, a.k.a. "ISIS," a.k.a. "Al Qaeda," which overthrew Syrian President Bashar Assad, is Jewish, and graduated from the Islamic School of Jurisprudence, in Tel Aviv. How many other "Head-choppers" are also Israeli Mossad?
According to Israel's YNET News, Abu Muhammed Al-Jawlani was born Yonatan Avi-David, and is a Mossad Mole.
He adopted the fake identity Abu Muhammed Al-Jawlani and became the head of the International Terrorist Group Hay'at Tahrir al-Sham (HTS).

The story above, from YNET News in Israel, published August 27 of the year 2013, reveals the ugly truth.
Clearly, this is why Jawlani and all of his underlings, who are in the process of installing themselves as "officials" in the new Syrian "government" (they overthrew the old one) have made clear "Syria will not be a place from which Israel is attacked.
All the troubles with "Rebels" in Syria? It was Israel doing it using it's moles.
Hii ni consipirscy tu ya kutaka ku destabilize sylia,
Chukulia mfano watu walipodai Dr Mpango ni Raia wa Burundi! Au kila Profesa Muhaya wa, UD ni Spy wa Kagame!
Upuuzi mtupu
 
tutajie siku hata moja tu ISIS au al quaeda waliitishia au kufanya shambulizi israel. just mention one, halafu uconclude kwamba waarabu na allah wao feki wanahitaji msaada wa akili. wanaweza kuletwa hata mirembe tu.
Malengo ya kuanzishwa ISIS ilikuwa kupigana na Bashar al Assad
 
Hii ni consipirscy tu ya kutaka ku destabilize sylia,
Chukulia mfano watu walipodai Dr Mpango ni Raia wa Burundi! Au kila Profesa Muhaya wa, UD ni Spy wa Kagame!
Upuuzi mtupu
Hivi unaelewa concept ya nadharia njama imetoka wapi.CIA on behalf of the US ndio walio-coin concept hiyo, ili tunapofunua siri zao watu wasiamini.Sasa ninyi kwa ujinga mlio-nao mmevalia ujinga.The concept kwamba wajinga ndio waliwao couldn't be more true.
 
Hivi unaelewa concept ya nadharia njama imetoka wapi.CIA on behalf of the US ndio walio-coin concept hiyo, ili tiunana-pofunua siri zao watu wasiamini.Sasa ninyi kwa ujinga mlio-nao mmevalia ujinga njuga.The concept kwamba wajinga ndio waliwao couldn't be more true.
Yan makundi yote ya kigaidi yana uhusiano mkubwa sana na wamarekani na waisraeli..na hao vibaraka wengine kama ufaransa,uberigiji,uturuki n.k
Israel/USA ndio maibilisi wa hii dunia
 
Ingawa habari inaweza kua sio ya kweli lakini kihistoria Syria ina mchanganyiko mkubwa mno na Waisrael (sisemi Wayahudi, nasema Waisrael)
Makabila 10 ya wana wa Yakobo likiwepo na kabila la makuhani/wachungaji/maaskofu kwa lugha ya huku kwetu, walihamia nchi hiyo those days ikijulikana kama Samaria; Kabila la wafalme baadhi walihamia Kushi (sasa Ethiopia) so kua na muasi wa Kisyria but with Jewish/Israelite blood sio jambo la kushangaza. Historia inakwenda mbali zaidi, kwamba wenyeji wa mji wa Madina kule nchini Saudia nao ni wahamiaji from Syria. Hilo nililipata while I was working in Saudi Arabia, some Yeats back. Historia ya mashariki ya kati is very complicated
 
hakuna kabila lilihamia kush, pia, kwa habari ya syria yaani ashuru, hata kipindi cha Yesu wayahudi walikuwa wengi, ni kama vile unavyoweza kuwa na wahindi wanaoishi Tanzania, na wenye uraia wa Tanzania, ila ni wahindi. hiyo ipo hivyo hata kwa Urutuki, ugiriki, na mediteranean yote, na uarabuni. UKienda kwa mfano Syria, Sauli ambaye baadaye alikuja kuitwa Paulo Mtume, alikuwa anaenda syria kwenye mji ule ule wa Dameski (Damascus), akizunguka kwenye masinagogi yaliyokuwepo kule, kuwaburuta wayahudi waliokuwa wamempokea Yesu. ikumbukwe injili ya awali ilianza kwa wayahudi tu, hivyo hata mitume mara ya kwanza kabla hawajageukia mataifa, walikuwa wanaingia kwenye masinagogi ya wayahudi tu na kuhubiri humo, mataifa bado walikuwa outcast hadi baadaye, unakumbuka ndogo ya Petro kwamba Mungu hana upendeleo. Paulo mwenyewe alikuwa ni myahudi aliyekuwa na uraia wa kuzaliwa wa uturuki, alizaliwa katika mji wa Tarso ambao kwa sasa ni kusini mwa uturuki. na hata hivi tunavyoongea, pamoja na uturuki kuwa ni nchi ya kiislam, lakini kuna masinagogi pia, na kuna waturuki wenye asili ya kiyahudi 14,000.

kwa sababu hiyo, kulikuwa na masinagogi mengi ugiriki, hata ukienda israel leo, kuna wayahudi wengine wanaitwa wayahudi wa kiyemen wana mchanganyiko na waarabu, wapo hadi wayahudi wa kiiran, iiraq, kiarabu n.k na kwa iran na iran kipindi cha koreshi na nebukadneza unakumbuka, wayahudi wengi walipelekwa kule kama watumwa, na unakumbuka enzi za Estha na modekai namna walivyoomba kujitetea, wayahudi miji mbalimbali waliambiwa wajitetee na waliungana wengi mno, kumbe maeneo hayo yalikuwa na wayahudi wengi, na wamebaki huko hadi 1948, na wengien wapo huko hadi leo.

unaposema samaria, ni eneo juu ya Yuda, yaani ile wanayoita westbank, ndio samaria. na ukienda Israel leo, usije kujiloga ukaita lile eneo "westbank", utawakwaza,wametaja jina lile lile lililoitwa enzi zile hata za Yesu, ni mkoa unaoitwa "judeo samaria", kwani imechanganya maeneo kadhaa ya Judea na juu samaria. nasema maeneo kadhaa ya judea kwa sababu kwa mfano Bethlehemu ni mji ambao upo westbank lakini zamani ulihesabiwa kuwa ni mji uliopo jimbo la Yuda, ni urithi yuda alipewa na baba yake kwenye ule mgao. ndio maana hata Yesu alitabiriwa kuzaliwa Bethelehemu mji wa Yuda.
 
kwa lugha nyingine, the whole of middle east hadi uajemi, imejaa wayahudi, na wanajitambua hivyo. kwa mfano iran hadi viongozi wapo wayahudi ila wanajificha. hivi mnajua Daniel yule yule aliyetupwa kwenye tundu la simba, alifanyiwa hayo Iran? na kaburi lake lipo iran hadi leo? pia shedrack meshack na abednego, walifanyiwa yale iran, ni kundi kubwa mno lilipelekwa iran na kuna kizazi kilikuwa kikubwa sana, ila wameondoka wamebaki kama 1000 tu ndio wanaishi pale leo, zamani walikuwa malaki. hivyo, kokote utaenda, hautawakwepa, watakuweka mfukoni bila kujua.
 
hakuna kabila lilihamia kush, pia, kwa habari ya syria yaani ashuru, hata kipindi cha Yesu wayahudi walikuwa wengi, ni kama vile unavyoweza kuwa na wahindi wanaoishi Tanzania, na wenye uraia wa Tanzania, ila ni wahindi. hiyo ipo hivyo hata kwa Urutuki, ugiriki, na mediteranean yote, na uarabuni. UKienda kwa mfano Syria, Sauli ambaye baadaye alikuja kuitwa Paulo Mtume, alikuwa anaenda syria kwenye mji ule ule wa Dameski (Damascus), akizunguka kwenye masinagogi yaliyokuwepo kule, kuwaburuta wayahudi waliokuwa wamempokea Yesu. ikumbukwe injili ya awali ilianza kwa wayahudi tu, hivyo hata mitume mara ya kwanza kabla hawajageukia mataifa, walikuwa wanaingia kwenye masinagogi ya wayahudi tu na kuhubiri humo, mataifa bado walikuwa outcast hadi baadaye, unakumbuka ndogo ya Petro kwamba Mungu hana upendeleo. Paulo mwenyewe alikuwa ni myahudi aliyekuwa na uraia wa kuzaliwa wa uturuki, alizaliwa katika mji wa Tarso ambao kwa sasa ni kusini mwa uturuki. na hata hivi tunavyoongea, pamoja na uturuki kuwa ni nchi ya kiislam, lakini kuna masinagogi pia, na kuna waturuki wenye asili ya kiyahudi 14,000.

kwa sababu hiyo, kulikuwa na masinagogi mengi ugiriki, hata ukienda israel leo, kuna wayahudi wengine wanaitwa wayahudi wa kiyemen wana mchanganyiko na waarabu, wapo hadi wayahudi wa kiiran, iiraq, kiarabu n.k na kwa iran na iran kipindi cha koreshi na nebukadneza unakumbuka, wayahudi wengi walipelekwa kule kama watumwa, na unakumbuka enzi za Estha na modekai namna walivyoomba kujitetea, wayahudi miji mbalimbali waliambiwa wajitetee na waliungana wengi mno, kumbe maeneo hayo yalikuwa na wayahudi wengi, na wamebaki huko hadi 1948, na wengien wapo huko hadi leo.

unaposema samaria, ni eneo juu ya Yuda, yaani ile wanayoita westbank, ndio samaria. na ukienda Israel leo, usije kujiloga ukaita lile eneo "westbank", utawakwaza,wametaja jina lile lile lililoitwa enzi zile hata za Yesu, ni mkoa unaoitwa "judeo samaria", kwani imechanganya maeneo kadhaa ya Judea na juu samaria. nasema maeneo kadhaa ya judea kwa sababu kwa mfano Bethlehemu ni mji ambao upo westbank lakini zamani ulihesabiwa kuwa ni mji uliopo jimbo la Yuda, ni urithi yuda alipewa na baba yake kwenye ule mgao. ndio maana hata Yesu alitabiriwa kuzaliwa Bethelehemu mji wa Yuda.
Unawajua Wayahudivwanaoitwa MAFAHARASHA? Katafute mkuu; again unakumbuka mji mkuu wa Samaria ulikua unaitwaje? Damascus, right? Where is Damascus now? Kafatilie pia ujio wa malkia wa Sheba (now Ethiopia) wakati anarudi kwao/kwake alisindikizwa na rundo la Wayahudi..., they didn't go back to home. Nakupa ushahidi mwingine from Ethiopia bro. Yule Mkushi aliyekutana na Philipo akiwa anatoka Uyahudi/Jerusalem kuhiji; why alikwenda kuhiji Jerusalem while hakua na asili hiyo? Kumbuka (kulingana na sheria ya Musa ) ni Wayahudi tu ndio walitakiwa kwenda Uyahudi kuhiji kila mwaka na tarehe zile zile. Alifikaje Ethiopia?
 
wayahudi wa kiethiopia ni zao la malkia wa sheba, alizaa na suleiman baada ya kumtembelea. they are notable, wamekeep torah tangu enzi hizo hadi sasa, na wamebaguliwa sana pale ethiopia, na wengi waliishi milimani. operation moses za Netanyahu na wengine iliwaondoa karibia 160,000 pale ethiopia waliobaki hata 25,000 hawafiki. serikali ya ethiopia iliamua kupiga marufuku zile ndege za israel zilizokuwa zinakuja kuwabeba. kwahiyo sio waethiopia wote walikuwa wayahudi, kalikuwa kakabila fulani ambako walijitenga na wamekuwa wakisali imani ya kiyahudi tangu enzi hizo. kule israel wapo wengi sasa wale waliochukuliwa na madege ya israel, karibia wanakadiriwa 200,000 population, ni raia na wengi wapo hata jeshini kama wayahudi na wanapata haki zote kama wayahudi.

hiyo historia kwamba samalia iliextend hadi syria sijui unaitoa wapi? ni kwenye kitabu gani? au story za mtaani? yaani hata kama ingekuwa iliextend labda ni annexation ya zamani ile kwa sababu waisrael walipigana sana na waashuru, ukisikia waashuri ni wasyria, na kwa kiingereza wanaitwa asyrians. hizo story kwamba wakati malkia wa sheba anarudi kwao alisindikizwa na rundo la wayahudi unazitoa wapi? wakati kuna historia inasema alirudi na mimba ya solomon na hata ukienda kwenye ufalme wa ethiopia utaikuta hiyo. solomon alikuwepo kitambo sana kabla ya Yesu, kipindi kile cha filipo aliyemhubiria towashi, hao sasa ndio kilikuwa kizazi cha solomon alichozaa na malkia wa sheba, dini ya kiyahudi ilikuwepo ethiopia miaka mingi, na wote waliokuwa wanaabudu dini hiyo walikuwa na desturi ya kwenda Yerusalem kuabudu kwenye hekalu lile kubwa. sio waethiopia tu walikuwa wanaenda, hata walibya, misri, krete na wote wale waliotajwa siku ya pentekoste, walikuwa watauwa wa kiyahudi wanaoishi nchi mbalimbali na walikuwa wameenda pale Yerusalem kuabudu kwenye hekalu. ni kwa namna hiyo hiyo na filipo alikutana na yule towashi akamhuburia. tunachobishania hapa ni wewe kusema samalia ilikuwa damascus, ni uongo.

angali awanafunzi wa Yesu/mitume, walipopokea taarifa kwamba samaria nao wamempokea Yesu, walimaanisha samaria ipi? angalia kidoti chekundu kwenye ramani hii, samaria ipo syria au juu ya Yudea.

0e11999021d7f1104f6e3c5e2fbbff49.jpg
 
Back
Top Bottom