What a surprise, Al-Jawlani, the head of HTS that overthrew Syria President, is Jewish !

What a surprise, Al-Jawlani, the head of HTS that overthrew Syria President, is Jewish !

Mvua isiponyesha wanao sababisha utaambiwa ni jews. Huwa najiuliza sisimizi huwa nae anajamba?
 
Unawajua Wayahudivwanaoitwa MAFAHARASHA? Katafute mkuu; again unakumbuka mji mkuu wa Samaria ulikua unaitwaje? Damascus, right? Where is Damascus now? Kafatilie pia ujio wa malkia wa Sheba (now Ethiopia) wakati anarudi kwao/kwake alisindikizwa na rundo la Wayahudi..., they didn't go back to home. Nakupa ushahidi mwingine from Ethiopia bro. Yule Mkushi aliyekutana na Philipo akiwa anatoka Uyahudi/Jerusalem kuhiji; why alikwenda kuhiji Jerusalem while hakua na asili hiyo? Kumbuka (kulingana na sheria ya Musa ) ni Wayahudi tu ndio walitakiwa kwenda Uyahudi kuhiji kila mwaka na tarehe zile zile. Alifikaje Ethiopia?
Hebu fukuka Mkuu, una kitu ila umekifumbafumba sana
 
Juzi ndiyo nimekuja kujua kuwa marehemu Malkia Elizabeth 2 hakuwa kuzuru Israel ata siku moja! Nilipofatilia sababu nikaja gundua kuwa hakuwa ana waamini cos akiwa mdogo aliona jinsi Wayahudi wakivyojihusisha na ugaidi huko Palestina kiasi cha kuwaua wana diplomasia wa Uingereza wakiwaforce waondoke wawaachie ardhi ya Palestina! View attachment 3188116
Kwa hiyo Malkia Elizabeth na yeye ni Allah akbar au?
 
Hawa Khazars huwa ni manipulators , kuna vitu vinatokea , wapumbavu wanakenua meno na kufurahia ,kumbe mazayuni ,puppets masters wako behind the scene wanaoperate agenda zao , doesn't make sense ufanye replacement ya Assad na hao vibaka ,hao vibaka ni worse na Ndio waliokuwa members WA Alqaida na ISIS , hao wananchi nao wapumbavu wakaamua kuungana na hao magaidi kureplace serikali , nikikumbuka ushenzi waliofanya Allepo hao Syria na wengi walikuwa mercenaries ,most likely funded by USA ,Israel na mataifa mengine ya kishenzi ,kuna proof ya kwamba walikuwa wanakuja kutibiwa Tel Aviv kipindi kile wanatengwa na Assad ,maana Assad aliwakaanga haswa bila huruma kipindi kile ,huku Hezbollah wakitoa ground support na Urusi air support ,washenzi wale wakapotea ,mpaka walivyoibuka hivi karibuni
Waarabu washenzi walipo popote duniani wao hawaulizi jambo mara tatu washamkabidhi Israel nchi sasa waanze makundi ya kutaka kumuondo wauliwe tena sasa hao watapata shida mpk dunia inamaliza
 
Shida ni sisi waafrica kudhani Jews ni wazungu.

Uhalisia ni kwamba makabila 12 ya waisraeli asili yao ni watu wa Middle East,

Until recently kulikuwa na Jews mpaka Afghanistan, ndio maana rahisi kwao ku-infiltrate sehemu yoyote Middle East kwa sababu Jews halisi ni watu wa huko huko (sio waarabu waliohama) na kuzaliana huko wakabaki kutunza culture/idiology baadae wakawa wazungu na kurudi Israel.

Jews asili yao ni waarabu na msingi wa monotheistic religion ni waarabu (culture ya Jews na Islam) zun
zinafanana kushinda Christianity.

Sema mzungu ana mbinu za vita tu na kutengenisha watu. Vinginevyo Jew na Islam wamepishana kidogo sana jinsi wanavyoishi na tamaduni zao. Mbali kabisa na Christianity.

Ukikaa ukatulia utaona this is an ideological war more than anything, fuelled by western propaganda. Vinginevyo wenyewe walikuwa wanaishi kwa amani huko kabla ya Hitler.
Mmbhushangaa sana haya mitaa na lafdhi au majina ya Jews mengn kama kiislam kweli nimekukubali mchambuz
 
Mbona tuvitisho twiingi huyo mnyarwanda wenu ataishia congo TU. Na huyo mzayuni hatoboi ajenda yake saivi Israel ni nchi yenye low security level watu wanaondoka wengine wanogopa kwenda sio safe Tena muda wowote nikukurupa Kwenye mahandaki huwezi Fanya anachotka kukifanya Israel Hata mrusi Kwa Dunia ya Leo ambayo mataifa mengi yame advance kivita hayo mambo yalikua enzi za ujima yalifanywa na watemi kina milambo,mkwawa etc
Acha kuandika usichokijua. Eti Israel has the lowest security? Yaani wewe umejifungia Goba unasema hivo and yet the whole world 🌎 acknowledges Israel advanced security systems! Your view is perilous!
 
Juzi ndiyo nimekuja kujua kuwa marehemu Malkia Elizabeth 2 hakuwa kuzuru Israel ata siku moja! Nilipofatilia sababu nikaja gundua kuwa hakuwa ana waamini cos akiwa mdogo aliona jinsi Wayahudi wakivyojihusisha na ugaidi huko Palestina kiasi cha kuwaua wana diplomasia wa Uingereza wakiwaforce waondoke wawaachie ardhi ya Palestina! View attachment 3188116
Leo umenipa jambo jipya; tena kubwa la kihistoria la kufungia mwaka 2024.
JF kweli ni kisima cha maarifa; ukiachana na "vigego" wachache wachafuzi wa hali ya hewa.
 
Acha kuandika usichokijua. Eti Israel has the lowest security? Yaani wewe umejifungia Goba unasema hivo and yet the whole world 🌎 acknowledges Israel advanced security systems! Your view is perilous!
Kwanini watu wanaondoka? Kuanzia vita vianze 2milion wamesepa, na watalii hawaendi na matukio saivi ya kuchomwa visu au kupigwa risasi yameongezeka Kwenye mikusanyiko hivyo ndio mabadiliko yaliyoikumba israel
 
Hawa Khazars huwa ni manipulators , kuna vitu vinatokea , wapumbavu wanakenua meno na kufurahia ,kumbe mazayuni ,puppets masters wako behind the scene wanaoperate agenda zao , doesn't make sense ufanye replacement ya Assad na hao vibaka ,hao vibaka ni worse na Ndio waliokuwa members WA Alqaida na ISIS , hao wananchi nao wapumbavu wakaamua kuungana na hao magaidi kureplace serikali , nikikumbuka ushenzi waliofanya Allepo hao Syria na wengi walikuwa mercenaries ,most likely funded by USA ,Israel na mataifa mengine ya kishenzi ,kuna proof ya kwamba walikuwa wanakuja kutibiwa Tel Aviv kipindi kile wanatengwa na Assad ,maana Assad aliwakaanga haswa bila huruma kipindi kile ,huku Hezbollah wakitoa ground support na Urusi air support ,washenzi wale wakapotea ,mpaka walivyoibuka hivi karibuni
Umeandika kwa mihemko hatari, bila shaka umeumia! Wewe msiria? Pole
 
wayahudi wa kiethiopia ni zao la malkia wa sheba, alizaa na suleiman baada ya kumtembelea. they are notable, wamekeep torah tangu enzi hizo hadi sasa, na wamebaguliwa sana pale ethiopia, na wengi waliishi milimani. operation moses za Netanyahu na wengine iliwaondoa karibia 160,000 pale ethiopia waliobaki hata 25,000 hawafiki. serikali ya ethiopia iliamua kupiga marufuku zile ndege za israel zilizokuwa zinakuja kuwabeba. kwahiyo sio waethiopia wote walikuwa wayahudi, kalikuwa kakabila fulani ambako walijitenga na wamekuwa wakisali imani ya kiyahudi tangu enzi hizo. kule israel wapo wengi sasa wale waliochukuliwa na madege ya israel, karibia wanakadiriwa 200,000 population, ni raia na wengi wapo hata jeshini kama wayahudi na wanapata haki zote kama wayahudi.

hiyo historia kwamba samalia iliextend hadi syria sijui unaitoa wapi? ni kwenye kitabu gani? au story za mtaani? yaani hata kama ingekuwa iliextend labda ni annexation ya zamani ile kwa sababu waisrael walipigana sana na waashuru, ukisikia waashuri ni wasyria, na kwa kiingereza wanaitwa asyrians. hizo story kwamba wakati malkia wa sheba anarudi kwao alisindikizwa na rundo la wayahudi unazitoa wapi? wakati kuna historia inasema alirudi na mimba ya solomon na hata ukienda kwenye ufalme wa ethiopia utaikuta hiyo. solomon alikuwepo kitambo sana kabla ya Yesu, kipindi kile cha filipo aliyemhubiria towashi, hao sasa ndio kilikuwa kizazi cha solomon alichozaa na malkia wa sheba, dini ya kiyahudi ilikuwepo ethiopia miaka mingi, na wote waliokuwa wanaabudu dini hiyo walikuwa na desturi ya kwenda Yerusalem kuabudu kwenye hekalu lile kubwa. sio waethiopia tu walikuwa wanaenda, hata walibya, misri, krete na wote wale waliotajwa siku ya pentekoste, walikuwa watauwa wa kiyahudi wanaoishi nchi mbalimbali na walikuwa wameenda pale Yerusalem kuabudu kwenye hekalu. ni kwa namna hiyo hiyo na filipo alikutana na yule towashi akamhuburia. tunachobishania hapa ni wewe kusema samalia ilikuwa damascus, ni uongo.

angali awanafunzi wa Yesu/mitume, walipopokea taarifa kwamba samaria nao wamempokea Yesu, walimaanisha samaria ipi? angalia kidoti chekundu kwenye ramani hii, samaria ipo syria au juu ya Yudea.

View attachment 3188972
Hiyo ya kubaguliwa ni topic nyingine, nalijua hilo kaka. But kubaguliwa kwao hakuondoi Uyahudi wao, Ngoja niyakosee makabila 3 ya hapa kwetu na langu likowepo, Wahaya, Wachagga na Wanyakyusa hasa wa Tukuyu, nina wa excuse Wanyakyusa wa Kyela; makabila haya 3 ikitokea baba amezaa watoto na mwanamke nje ya kabila lao huaga wana majina yao wanawaita wale watoto, yaani sio Wahaya, Wachagga au Wanyakyusa pure, Wahaya wanawaitaga "Wanyamuhanga" Wachagga wao wanaita Nyasaka while Wanyakyusa hutamka Mjanga, same as na wao Wayahudi. Unalikumbuka lile sakata la Bill Clinton na Monica Lewensky? Yule sister alitengwa kwenye jumuia yao kwa kutoka kimapenzi na "mmataifa"
Lakini, pamoja na kusema hilo bado ukiwatazama Waethiopia leo, wengi wao hawafanani na sie Waafrica wenzao, haiwezekani mtoto 1 ambae alizalishwa yule malkia wa Sheba na mfalme Suleiman ndio alete effect kubwa vile, lazima kulikua na other Jews waliokuja Ethiopia na wakazaa watoto wengine na kizazi chao ndio hicho kinacho tengwa to-date pale middle east.
 
sio waethiopia peke yao hawafanani na wabantu, bali ni horn of Africa yote. kwani wasomali unafanana nao? elitrea, sudan? ulishawahi sikia kitu kinaitwa Axum? kwa hiyo kabla ya malkia wa kushi kwenda jerusalem pale hapakuwa na waethiopia alikuwa malkia wa wapi sasa? ukanda woote kuanzia Tanzania,kenya, somalia, ethiopia,sudan hadi misri kuna watu mfanano wao ni kama mchanganyiko na waAsia kwa mbali, wahindi sio wahindi, waarabu sio waarabu ila kwa mbali wanamfanano huo. hiyo imeenda hivyo hadi Yemen na Saudia, kuna waarabu weusi wengi tu. kama huelewi, mtoto aliyezalishwa na malkia wa sheba alioa waethiopia wenzake kikawa kizazi cha sulemani lakini baadaye waethiopia wengine waliwatenga, wanajuana hata wao ndio maana ilikuwa rahisi kuwaweka kwenye ndege na kuwachukua. pia, ethiopia kuna makabila mengine pia na lugha tofauti pia,
 
Ni mjadara tu bro, tuendelee kuelewashana; sina hakika kama unafahamu wale tuliosoma shule miaka ya 80 hatukusoma kwenye ramani kwamba kuna nchi ilikua inaitwa Eritrea, this country was part of Ethiopia, vita vya wenyewe kwa wenyewe ndio vilipelekea nchi hiyo kujitenga so kwa maana ya damu, huwezi itodautisha Ethiopia na Eritrea, wale ni ndugu, is like Waha wa Kigoma na watu wa mkoani Kagera, wale watu asili zao utazikuta either Rwanda, Burundi or Uganda so mtu yeyote ambaye ni mwenyeji wa mkoa wa Kigoma na Kagera kama hana asili ya hizo nchi 3 then hatokani na mikoa hiyo, ana kwao, Kigoma unaweza ku include Zaire/Congo as well. Now coming back to Ethiopia, Somalia and Sudan (iondoe Eritrea kwenye equation) watu wamekua wana migrate from one country to another, hadi Yemen huko, biashara ilisababisha watu kutoka nchi zao za asili to another country kama walivokua Wayahudi to Egypt. Same as nchi za Kiarabu, kimsingi Waarabu those times huwezi kuwatofautisha na Waisrael, walikua wanafanya biashara kwa pamoja sana, sijui vitabu unavyo soma but kama unakumbuka mfalme Suleiman wakati anajenga hekalu lao, alikua ana trade na jirani zake wa pale pale including Misri, ikumbukwe kabla ya mwaka 1880 Africa to mashariki ya kati walikua wakisafiri kwa barabara, ilikua is like huwezi itofautisha Misri/Africa ya wakati huo na middle east, miaka hiyo ya 1880's ndio Uingereza alichimba mfereji wa Suez canal na kuitenga Africa with middle east, ukiwatazama Wasomali, Wasudan na Wayemeni is like Waarabu waliochakachuliwa, kina Maalimu Seif (RIP ) hadi walikua na ndugu Oman na other Arabic country, this may caused by slave trade or any other type of business. Lakini ukiwatazama Waethiopia na Wayahudi wa asili, wanafanana sana. Wayahudi wengi ni weupe na nywele fulani hivi ndefu, baada ya kusafiri sana na kutekwa kama Watumwa ndio unakutana na Wayahudi ambao ni ka Waarabu, Wazungu na Wahindi as well. Nasikia (sina hakika ) the former Iranian president Mr. Ahmenajad ana asili ya Kiyahudi but look at his skin, ni Iranian pure, mtazame huyu mkuu wa majeshi wa Iran ambaye juzi katuhimiwa kwamba nae ni Jew, ngozi yake ni pure Iranian. But why wapo vile? Kumbuka walivotekwa na mfalme wa Babel bwana Nebukadneza, walihamishiwa Babel (Iraq ya leo ) na kule walizaana sana kule, baadae Babel/Iraq iliangushwa na Waajemi (Iran ya leo ) Wayahudi kadhaa waka migrate to Iran/Uajemi na kule wakazaana tena na wenyeji, usishau habari ya Samaria/Damascus so is full of mchanganyiko
 
tutajie siku hata moja tu ISIS au al quaeda waliitishia au kufanya shambulizi israel. just mention one, halafu uconclude kwamba waarabu na allah wao feki wanahitaji msaada wa akili. wanaweza kuletwa hata mirembe tu.
Ungetuliza hilo fuvu lako ungejua kuwa hayo makundi ya kigaidi ni kiini macho na hao ni mercenaries WA Marekani na Israel hapo middle east kufanikisha agenda za hayo mataifa ,
 
Back
Top Bottom