What a U.S.$500 Million Agreement Means for Tanzanian Ports

Kama kuna mtu ana koneksheni na Al-Shabab aniunge wanipe bomu nikajilipue makao makuu ya Joka la kijani.

Ndo kilichobaki.

Vizazi vyangu vitanikumbuka kwa ushujaa huo na ntapokelewa na mabikra 70 peponi
Hillary Clinton, aliyeianzisha.

Nenda ubalozi wa Marekani.
 
Wizi/utapeli hupaswa kwenda pamoja na kuwa na akili.

Ila wizi na umbumbumbu ni combination mbaya sana, unaweza jikuta unaiba kituo cha polisi huku ukionekana ukitumainia labda hutoonekana.

Jizi kuu la hili sakata ni bonge la bogus, hata historia ya elimu yake inaonyesha hivyo. Tusishangae pesa zikaja kuibuika kwenye account yake binafsi.
 
Yanayofanyika sirini hutoka hadharani.. Hiyo ndio ilikuwa bei ya kuuza bandari zetu zote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada umekosea sana. Mikataba iliyosainiwa Dubai ina thamni ya takriban Dollar billion 5.

.hicho ki-million 500 chako cha TEHAMA tu ya bandarini.

Kafanye homework yako vizuri, usipokee taarifa za makuli ukazichukulia ndiyo sahihi 100%
 
Msaada wa Dola za Marekani milioni 500 kupitia Mkataba wa Makubaliano uliosainiwa kati ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na kampuni ya usafirishaji ya DP World ya Dubai, utafadhili miradi mbalimbali inayolenga kuboresha ufanisi wa bandari za Tanzania.

Kampuni hiyo ina utaalam wa usafirishaji wa mizigo, shughuli za bandari, huduma za baharini na maeneo ya biashara huria. Makubaliano ya msaada huo yalitiwa saini katika maonyesho ya Dubai Expo kati ya Mkurugenzi Mkuu wa TPA Eric Hamissi na Ofisa Mtendaji Mkuu wa DP World Sultan Ahmed Bin Sulayem na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan.

Fedha za mkataba huo zitatumika katika kuendeleza bandari za Tanzania, zikilenga maeneo muhimu ya habari na mawasiliano, mifumo ya teknolojia (ICTs), mafunzo ya kuwajengea uwezo watumishi wa TPA na uboreshaji wa miundombinu ya bandari. Fedha hizo pia zinatarajiwa kuziwezesha bandari za nchi kuongeza uwezo wa kiushindani katika ngazi ya kikanda na kimataifa na kuboresha huduma.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isijekuwa ndo pesa walizogharamiwa watu Kama dili limebuma maana ake lazima kuchomoa ndoano zigo linaangushiwa huko ili njia iwe nyepesi kurudisha chenji ,,
 
Sasa tunaanza kuelewa kwa nini jambo hili pamoja na ubovu wake linapigiwa kelele.

Acha inyeshe tujue panapovuja
 
Dollar 500m...?
Na hazijulikani zikipo yani mpaka unahisi kupasuka na kulia na hadi mtu unaingia na roho ya kujitoa muhanga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…