What a U.S.$500 Million Agreement Means for Tanzanian Ports

Bunge limejaa wapumbavu watupu, wabunge wanatishwa na spika au maofisa wa serikali wanakunja mikia, kweli nimeamini unavuna unachopanda, wizi wa kura uliofanywa na CCM unaligharimu Taifa, hapa ndio faida ya upinzani tungeiona na kingefumuliwa kila kitu na ukweli wote kujulikana na tungeokoa Taifa, Richmond ilimfanya Lowasa ajiuzuru na sababu ilikuwa ni wapinzani na wabunge wenye akili ambao walishinda uchaguzi kwa haki sio haya ya kutanganzwa na mkurugenzi wa wilaya chini ya usalama wa Taifa, na hakuna hela ya bure hizo zitalipwa mara kumi kwa pesa ya walipa kodi
 
Kuna maelezo kuwa PD world ilitoa msaada wa dollar million 500 za kimarekani kwenda kuboresha mambo mbalimbali katika Bandari ya Dar es salaam lakini hizo pesa hazipo kwenye mkataba wala kwenye kwenye maelezo ya serikali. Tuomba ufafanuzi wa Serikali kwa hili. Au mwenye kujua nini kinaendelea

Kwa ambao Hawana mkataba upo hapo.

What a U.S.$500 Million Agreement Means for Tanzanian Ports​

FacebookTwitterWhatsAppFlipboardLinkedInRedditEmailShare

A U.S.$500 million grant through a Memorandum of Understanding signed between the Tanzania Ports Authority (TPA) and a Dubai-based logistics firm DP World, will finance various projects aimed at improving efficiency of Tanzania's ports.

The firm specialises in cargo logistics, port terminal operations, maritime services and free trade zones. The agreement for the grant was signed at the Dubai Expo between TPA Director General Eric Hamissi and DP World Chief Executive Officer Sultan Ahmed Bin Sulayem and was witnessed by President Samia Suluhu Hassan.

The funds from the agreement will be spent on developing Tanzania's ports, targeting key areas of information and communication, technology (ICTs) systems, training for capacity building among TPA staff and improvements in port infrastructures. The funds are also expected to enable the country's ports to increase their competitiveness at the regional and global level and improve services.

Ungekuwa ni Mbunge wa Upinzani au hata Luhaga Mpina Spika Tulia angetupa hoja yako kwamba hakuna kitu kinaitwa PD world kwenye document iliyowasilishwa na serikali.

Mnakumbuka alivyombana Halima?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kidogo kidogo mtawajua Wazanzibari, chuki yao na level yao ya rushwa hamna mfano dunia nzima.
Kizuri ni kuwa wana uhakika 100% Watanganyika ni mandondocha tu.
 
Bunge limejaa wapumbavu watupu, wabunge wanatishwa na spika au maofisa wa serikali wanakunja mikia, kweli nimeamini unavuna unachopanda, wizi wa kura uliofanywa na CCM unaligharimu Taifa, hapa ndio faida ya upinzani tungeiona na kingefumuliwa kila kitu na ukweli wote kujulikana na tungeokoa Taifa, Richmond ilimfanya Lowasa ajiuzuru na sababu ilikuwa ni wapinzani na wabunge wenye akili ambao walishinda uchaguzi kwa haki sio haya ya kutanganzwa na mkurugenzi wa wilaya chini ya usalama wa Taifa, na hakuna hela ya bure hizo zitalipwa mara kumi kwa pesa ya walipa kodi
Lile siyo bunge ni zizi la nguruwe...hii nchi bila ya kutoa sadaka ya damu za mafisadi wakuu wanao sumbua sana basi hii roho chafu ya kukosa uzalendo itakita mizizi ..... kuna watu kama 84 tu damu zao ni muhimu sana kulitakasa taifa
 
Duùuu SSH ana kazi sana ...clear huu upepo ..la sivyo 2025 ngumu sanaaa kuna maamuzi magumu yafanyike atupishe
 
Kuna maelezo kuwa PD world ilitoa msaada wa dollar million 500 za kimarekani kwenda kuboresha mambo mbalimbali katika Bandari ya Dar es salaam lakini hizo pesa hazipo kwenye mkataba wala kwenye kwenye maelezo ya serikali. Tuomba ufafanuzi wa Serikali kwa hili. Au mwenye kujua nini kinaendelea

Kwa ambao Hawana mkataba upo hapo.

What a U.S.$500 Million Agreement Means for Tanzanian Ports​

FacebookTwitterWhatsAppFlipboardLinkedInRedditEmailShare

A U.S.$500 million grant through a Memorandum of Understanding signed between the Tanzania Ports Authority (TPA) and a Dubai-based logistics firm DP World, will finance various projects aimed at improving efficiency of Tanzania's ports.

The firm specialises in cargo logistics, port terminal operations, maritime services and free trade zones. The agreement for the grant was signed at the Dubai Expo between TPA Director General Eric Hamissi and DP World Chief Executive Officer Sultan Ahmed Bin Sulayem and was witnessed by President Samia Suluhu Hassan.

The funds from the agreement will be spent on developing Tanzania's ports, targeting key areas of information and communication, technology (ICTs) systems, training for capacity building among TPA staff and improvements in port infrastructures. The funds are also expected to enable the country's ports to increase their competitiveness at the regional and global level and improve services.

Mwulize Samira
 
Kuna tetesi ambazo zimeenea kwenye viunga vya BANDARI eti zaidi ya karibu tilioni moja zilizo tolewa kama msaada na waarabu kwa mamlaka ya bandari hazijulikani zilipo!

Inasemekana baadhi ya watumishi wazalendo wa mamlaka ya bandari ndiwo waliofichukua sakata hilo.

Please TPA kama ni kweli ama si kweli litoleeni taarifa hilo kwa Watanzania kuhusu hizo pesa dola milioni 500 zilifanya nini ama zipo wapi!

Hii ni zaidi ya hatari!
Unataka wapambe wa bandari tule ninj
 
Kuna watu wengine wana matumbo yasiyoshiba. Wanakula na kuvimbiwa halafu wanapuu hapohapo na kuendelea tena kula kwa hila na gilba 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom