Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
- Thread starter
-
- #41
Vyombo Vyote vya habari viliandika vya Tanzania na nje ya nchi. Habari Imefutwa kwenye tovuti ya daily mail ya tanzaniaMleta mada umekosea sana. Mikataba iliyosainiwa Dubai ina thamni ya takriban Dollar billion 5.
.hicho ki-million 500 chako cha TEHAMA tu ya bandarini.
Kafanye homework yako vizuri, usipokee taarifa za makuli ukazichukulia ndiyo sahihi 100%
Ni thread juu ya threads za bandari tu.Kuna maelezo kuwa PD world ilitoa msaada wa dollar million 500 za kimarekani kwenda kuboresha mambo mbalimbali katika Bandari ya Dar es salaam lakini hizo pesa hazipo kwenye mkataba wala kwenye kwenye maelezo ya serikali. Tuomba ufafanuzi wa Serikali kwa hili. Au mwenye kujua nini kinaendelea
Kwa ambao Hawana mkataba upo hapo.
What a U.S.$500 Million Agreement Means for Tanzanian Ports
FacebookTwitterWhatsAppFlipboardLinkedInRedditEmailShare
A U.S.$500 million grant through a Memorandum of Understanding signed between the Tanzania Ports Authority (TPA) and a Dubai-based logistics firm DP World, will finance various projects aimed at improving efficiency of Tanzania's ports.
The firm specialises in cargo logistics, port terminal operations, maritime services and free trade zones. The agreement for the grant was signed at the Dubai Expo between TPA Director General Eric Hamissi and DP World Chief Executive Officer Sultan Ahmed Bin Sulayem and was witnessed by President Samia Suluhu Hassan.
The funds from the agreement will be spent on developing Tanzania's ports, targeting key areas of information and communication, technology (ICTs) systems, training for capacity building among TPA staff and improvements in port infrastructures. The funds are also expected to enable the country's ports to increase their competitiveness at the regional and global level and improve services.
What a U.S.$500 Million Agreement Means for Tanzanian Ports
A U.S.$500 million grant through a Memorandum of Understanding signed between the Tanzania Ports Authority (TPA) and a Dubai-based logistics firm DP World, will finance various projects aimed at improving efficiency of Tanzania's ports. The firm specialises in cargo logistics, port terminal...allafrica.com
Corona, kwa ushetani wakeVujisha hata chanzo cha kifo cha mtetezi wa rasilimali za taifa.
Lakini hazipo kwenye mkataba na ziko wapi?Mleta mada umekosea sana. Mikataba iliyosainiwa Dubai ina thamni ya takriban Dollar billion 5.
.hicho ki-million 500 chako cha TEHAMA tu ya bandarini.
Kafanye homework yako vizuri, usipokee taarifa za makuli ukazichukulia ndiyo sahihi 100%
Tetesi Tetesi tetesiKuna tetesi ambazo zimeenea kwenye viunga vya BANDARI eti zaidi ya karibu tilioni moja zilizo tolewa kama msaada na waarabu kwa mamlaka ya bandari hazijulikani zilipo!
Inasemekana baadhi ya watumishi wazalendo wa mamlaka ya bandari ndiwo waliofichukua sakata hilo.
Please TPA kama ni kweli ama si kweli litoleeni taarifa hilo kwa Watanzania kuhusu hizo pesa dola milioni 500 zilifanya nini ama zipo wapi!
Hii ni zaidi ya hatari!
Kelele za chura hizoSamia ni hatari kwa usalama wa taifa ni fisadi mkubwa sana
Msaada wa Dola za Marekani milioni 500 kupitia Mkataba wa Makubaliano uliosainiwa kati ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na kampuni ya usafirishaji ya DP World ya Dubai, utafadhili miradi mbalimbali inayolenga kuboresha ufanisi wa bandari za Tanzania. Kampuni hiyo ina utaalam wa usafirishaji wa mizigo, shughuli za bandari, huduma za baharini na maeneo ya biashara huria. Makubaliano ya msaada huo yalitiwa saini katika maonyesho ya Dubai Expo kati ya Mkurugenzi Mkuu wa TPA Eric Hamissi na Ofisa Mtendaji Mkuu wa DP World Sultan Ahmed Bin Sulayem na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Fedha za mkataba huo zitatumika katika kuendeleza bandari za Tanzania, zikilenga maeneo muhimu ya habari na mawasiliano, mifumo ya teknolojia (ICTs), mafunzo ya kuwajengea uwezo watumishi wa TPA na uboreshaji wa miundombinu ya bandari. Fedha hizo pia zinatarajiwa kuziwezesha bandari za nchi kuongeza uwezo wa kiushindani katika ngazi ya kikanda na kimataifa na kuboresha huduma.Kuna tetesi ambazo zimeenea kwenye viunga vya BANDARI eti zaidi ya karibu tilioni moja zilizo tolewa kama msaada na waarabu kwa mamlaka ya bandari hazijulikani zilipo!
Inasemekana baadhi ya watumishi wazalendo wa mamlaka ya bandari ndiwo waliofichukua sakata hilo.
Please TPA kama ni kweli ama si kweli litoleeni taarifa hilo kwa Watanzania kuhusu hizo pesa dola milioni 500 zilifanya nini ama zipo wapi!
Hii ni zaidi ya hatari!
Relax, relax, Wala rushwa wakubwa nyieWewe nae poyoyo kweli kweli. Ulifikiri utapewa pesa cash, ukazinywe?
Hazijatajwa popote nimeweka mkataba hapo unionyeshe hizo pesa. Kwanini Daily News wamefuta hiyo habariMsaada wa Dola za Marekani milioni 500 kupitia Mkataba wa Makubaliano uliosainiwa kati ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na kampuni ya usafirishaji ya DP World ya Dubai, utafadhili miradi mbalimbali inayolenga kuboresha ufanisi wa bandari za Tanzania. Kampuni hiyo ina utaalam wa usafirishaji wa mizigo, shughuli za bandari, huduma za baharini na maeneo ya biashara huria. Makubaliano ya msaada huo yalitiwa saini katika maonyesho ya Dubai Expo kati ya Mkurugenzi Mkuu wa TPA Eric Hamissi na Ofisa Mtendaji Mkuu wa DP World Sultan Ahmed Bin Sulayem na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Fedha za mkataba huo zitatumika katika kuendeleza bandari za Tanzania, zikilenga maeneo muhimu ya habari na mawasiliano, mifumo ya teknolojia (ICTs), mafunzo ya kuwajengea uwezo watumishi wa TPA na uboreshaji wa miundombinu ya bandari. Fedha hizo pia zinatarajiwa kuziwezesha bandari za nchi kuongeza uwezo wa kiushindani katika ngazi ya kikanda na kimataifa na kuboresha huduma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili kombe halifunikiki acha tu mwanaharamu asipiteHazijatajwa popote nimeweka mkataba hapo unionyeshe hizo pesa. Kwanini Daily News wamefuta hiyo habari
Idea zinaanzaga hivihivi!Kama kuna mtu ana koneksheni na Al-Shabab aniunge wanipe bomu nikajilipue makao makuu ya Joka la kijani.
Ndo kilichobaki.
Vizazi vyangu vitanikumbuka kwa ushujaa huo na ntapokelewa na mabikra 70 peponi
Duh 🙄 !!!!Zimeenda kwa watu wanne tu
Ndio maana Shura ya Maimamu imesema wapotishaji wamshukuru Samia kwasababu ni mpole wamesema ingelikuwa ni Mwendazake wangeshapotezwa.Kelele za chura hizo