What a weekend: Chelsea anampiga Liverpool. Hafu Gunners tunamyonga West Ham na kukaa pale juu!

What a weekend: Chelsea anampiga Liverpool. Hafu Gunners tunamyonga West Ham na kukaa pale juu!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Leo ndio tunakaa pale juu na hakuna wa kutushusha tena hadi msimu unaisha.
Tuna kikosi bora kabisa, hatuna majeruhi ya kutisha na tupo Emirates.
IMG_8534.jpeg


Liverpool wazee wa bahati leo mnatoka kileleni na hamtakaa mrudi huu msimu.
 
Mimi ni shabiki wa Chelsea! Ila ninakuthibitishia hapa, Chelsea atapigwa tu kama ngoma. Ile timu ni kama tu timu ya wachezaji wa Umiseta kutoka Mkoa wa Simiyu.

No good organization! No determination! Average players! No fighting spirit! Timu kila siku inasajili watoto, badala ya watu wazima wapambanaji!
 
Rice ameshatuheshimisha pale. Dk ya 60 tupo mbele kwa 1-0
 
Mimi ni shabiki wa Chelsea! Ila ninakuthibitishia hapa, Chelsea atapigwa tu kama ngoma. Ile timu ni kama tu timu ya wachezaji wa Umiseta kutoka Mkoa wa Simiyu.

No good organization! No determination! Average players! No fighting spirit! Timu kila siku inasajili watoto, badala ya watu wazima wapambanaji!
Saa 3 majibu yatakua tayari. Leo mnashinda
 
Tuendelee. Chelsea 1 - 0 Liverpool
 
Leo humu tu!
Huku Arsenal anawapigisha kwata west huku Captain TESHA anawafokea poli veggies nitashangilia magoli mara mbili..!! 😹😹😹

Oya mwanangu makaveli10 leo siku yetu THE GUNNERS kugonga cheers 🥂
 
Nacheki game ya madrid vs villareal hapa, aisee huyu partey ukiacha majeraha, sijui na rangi inamfanya asipewe sifa stahiki.
Jamaa ni mtulivu sana wa boli, kisha mnyumbulifu, halafu muongo muongo saana, anapokea mali kama anaenda kushoto, anarudi kulia, kama anaondoka haendi, ni burudani saana kutizama wachezaji wa namna hii.
 
Back
Top Bottom