macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Imaging..... nilibet Spurs, Arsenal na Liverpool kushinda, kwa odd ya dola 7.5, nikaweka dola 1000, nikiwa na uhakika naingiza dola 6000 ya chap. Dakika ya 85 nikachezwa machale, nika-cash out dola 1050. Bahati iliyoje.Leo ndio tunakaa pale juu na hakuna wa kutushusha tena hadi msimu unaisha.
Tuna kikosi bora kabisa, hatuna majeruhi ya kutisha na tupo Emirates.
View attachment 3483264
Liverpool wazee wa bahati leo mnatoka kileleni na hamtakaa mrudi huu msimu.