What a weekend: Chelsea anampiga Liverpool. Hafu Gunners tunamyonga West Ham na kukaa pale juu!

Mimi ni shabiki wa Chelsea! Ila ninakuthibitishia hapa, Chelsea atapigwa tu kama ngoma. Ile timu ni kama tu timu ya wachezaji wa Umiseta kutoka Mkoa wa Simiyu.

No good organization! No determination! Average players! No fighting spirit! Timu kila siku inasajili watoto, badala ya watu wazima wapambanaji!
 
Rice ameshatuheshimisha pale. Dk ya 60 tupo mbele kwa 1-0
 
Saa 3 majibu yatakua tayari. Leo mnashinda
 
Boliz kumekucha, nikaege niki lilaksi nishangilie timu napenda angalia pia ni ... wa malandani

The Blues na The Gunners
 
Tuendelee. Chelsea 1 - 0 Liverpool
 
Leo humu tu!
Huku Arsenal anawapigisha kwata west huku Captain TESHA anawafokea poli veggies nitashangilia magoli mara mbili..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Oya mwanangu makaveli10 leo siku yetu THE GUNNERS kugonga cheers ๐Ÿฅ‚
 
Leo humu tu!
Huku Arsenal anawapigisha kwata west huku Captain TESHA anawafokea poli veggies nitashangilia magoli mara mbili..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Oya mwanangu makaveli10 leo siku yetu THE GUNNERS kugonga cheers ๐Ÿฅ‚
Kabisa mzee mwenzangu
 
Nacheki game ya madrid vs villareal hapa, aisee huyu partey ukiacha majeraha, sijui na rangi inamfanya asipewe sifa stahiki.
Jamaa ni mtulivu sana wa boli, kisha mnyumbulifu, halafu muongo muongo saana, anapokea mali kama anaenda kushoto, anarudi kulia, kama anaondoka haendi, ni burudani saana kutizama wachezaji wa namna hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ