Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AltareniWasali rosary tunacomment wapi?
Nielekeze ghetto nije tuangalie wote. 😀 😀Kwa wapenda MICHEZO leo hakuna kutoka,macho kwenye tv
1.Wimbledon final Djokovich Vs Federer
Victoire
2.British grand Prix..Lewis Hamilton won the race
3.Cricket world cup England Vs New Zealand
4.Baba lao Afcon semis
Hapa mbuzi anafia Kwa muuza supu kiulaini wallah...Nielekeze ghetto nije tuangalie wote. 😀 😀
Sakristia...Wasali rosary tunacomment wapi?
Mwanaume akitongozwa na mwanamke ni ngumu SANA kuchomoa... Mkuu unaelekea kibra...Njoo PM
Wengine wapo chini ya robo ya vigezo vyako.... Labda uqe na njaa kaliUnachomoaje sasa? Labda uwe si rizki
Nimeomba kwenda kuangalia mpira acha kukuza mambo mkuu.Mwanaume akitongozwa na mwanamke ni ngumu SANA kuchomoa... Mkuu unaelekea kibra...
Sipajui nielekezeNjoo PM
KaribuNakuja kukuchukua
Mambo yamejikuza yenyewe,haaaaaNimeomba kwenda kuangalia mpira acha kukuza mambo mkuu.