What a weekend

What a weekend

Naona Tunisia wanashambuliwa hapa.
Raha ya mpira chagua upande.

Mechi ya sasa nipo Tunisia ya baadae nipo Algeria.
 
Kwa wapenda MICHEZO leo hakuna kutoka,macho kwenye tv
1.Wimbledon final Djokovich Vs Federer
Victoire
2.British grand Prix..Lewis Hamilton won the race
3.Cricket world cup England Vs New Zealand
4.Baba lao Afcon semis
Roger na Djokovic ni nipige nikupige,wamenifanya niangalie Senegal vs Tunisia kwa kuibia ibia.Wanaume leo hakika wamekutana.Yeyote atakaeshinda ashinde.Wote nawafagilia as Nadal wangu alishatoka.
 
😂😂😂😂 huku wataka na kule wataka.

Roger na Djokovic ni nipige nikupige,wamenifanya niangalie Senegal vs Tunisia kwa kuibia ibia.Wanaume leo hakika wamekutana.Yeyote atakaeshinda ashinde.Wote nawafagilia as Nadal wangu alishatoka.
 
Did you watch Serena and Halep? The good thing I didn’t have stress yesterday although I was rooting for Serena to make history.

Nadal is my favorite .Since he is out,Today I'm just enjoying.No stress.let the best win.
 
.
 
Attachments

  • 15631272244235927905915746296310.jpg
    15631272244235927905915746296310.jpg
    146.3 KB · Views: 9
Roger na Djokovic ni nipige nikupige,wamenifanya niangalie Senegal vs Tunisia kwa kuibia ibia.Wanaume leo hakika wamekutana.Yeyote atakaeshinda ashinde.Wote nawafagilia as Nadal wangu alishatoka.
Finally Djokovic won
 
Djokovic has done it again.Jamani kachukua majani kala.Ila ilikuwa mechi kali jamani.
 
Back
Top Bottom