Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
Hauwezi kushuhudia maana hautanipeleka penye hao wadudu.
Kinyume chake beba diapers kwa ajili yangu kama haupendi aibu Mla Bata.
pole sana, hutaki kujifunza kukabiliana na hiyo phobia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauwezi kushuhudia maana hautanipeleka penye hao wadudu.
Kinyume chake beba diapers kwa ajili yangu kama haupendi aibu Mla Bata.
Ndio kizungu zungu au???🤔vertigo
Serious mkuu..mimi na ng'ombe daah tuko different. .huwa siwaamini kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka hadi nimelala chiniNdio kizungu zungu au???[emoji848]
Siku moja niliwahi vushwa daraja na mtoto wa miaka 10. Yaani nilishindwa kupita mwenyewe kabisa
Hua najiweka katika taadhari sana kwa mtu ambaye anaonesha kunijari au kunipenda, hua naamini kua mtu mbaya akiplan kufanya ubaya hutanguliza wema kwanza
Cheka tu wakati this is serious problem.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka hadi nimelala chini
[emoji2][emoji2] dahh pole sana. .. narudia tena mkuu mimi na vitu vichungu tuko tofauti.. muarabaini ndio kabisa siuwezi
Pole my dear [emoji1787][emoji1787] kwa mazingira hayo hata mimi nisingeweza kuvukaCheka tu wakati this is serious problem.
Btw lilikua daraja la relini ambalo ukipita unapaona chini Kwakweli nilishindwa kuvuka. Au kuna madaraja ambayo pembeni hua wameweka njia ya kupita watembea kwa miguu yaani hua sipiti hiyo sehemu.
Sipandagi miti kabisa labda matawi yawe yanafika hadi chini!
Huwa nafuatilia tabia ya mwanafunzi hadi mtaani na kwenye instagram[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mbona wanakoma. Vikao vya wazazi kila leo mpaka mtoto abadilike. Na nikiamua kula sahani moja na wewe nitaacha tuu endapo utabadilika.
Form 4 wa miaka kadhaa nyuma walinikatia jina.
Sikuwahi kulijua hadi siku ya mahafali yao. Wakati walimu wanaitwa mimi zamu yangu MC akanitaja jina langu, masomo ninayofundisha akamalizia kwa kusema "wengi wanamjua kama ...." Wanafunzi wakalitaja wote kwa pamoja. Nilicheka sana.
Sema wanafunzi wananipenda. Hadi wazazi wao wananipenda na simu wananipigia kunishitakia tabia za watoto wao na awards wameshanipa mbili.
Napenda sana kucheka na kutabasamu.
Sio shabiki wa mpira wala siasa japo nilitamani sana ningekua shabiki.
Ni ngumu sana kuchukia,lakin ukinekera nitakwambia ukweli ukichukia basi kesho yake nitacheka na wew kama hakuna kilichotokea.
Sio muongeaji kabisa,wala kuchangia jambo lolote ata kama nafahamu kwa watu sijawazoea.
Sipendi kumuona mtu akiteseka,akiwa katika shida lakn ndo sina uwezo wa kumsaidia kila mwenye shida ninae kutana nae.
Napendwa na watu sijajua hadi leo sababu ya muonekano au ukimya wangu.
Ninawashikaji wachache sana ambao wote hapna nilifahamiana nae chini ya miaka kumi.
Ndo nilivyo lakn nilitamani niwe mcheshi sana.
Oh yeah Mr.Milleryou are the Happiness [emoji6]
tuko sawa kwene hilo la kwanza sema mi nna kingine Cha ziada sipendi kuongoza kwa kifupi sipendi kutumiwa Kama mfano ata Kama kitu nnakijua kiasi gani.... Mara nyingi najifelisha kwa makusudiSina mda/ sijawai kaa nikammis ndugu au mazazi. Ata kama nikimtafta namtafta tu ili asije sema nimemtenga. Sijui kwann tu nipo hiv
Huwa nakubaliwa sana na Watoto yan ata kama simjui anaweza nichangamkia kama vile tunajuana mda mrefu na mm nikiona hvyo uwa nawachangamkia zaid ili wasijihis vibaya.
Watu wengi wanajua mm huwa sili sana kumbe mimi huwa napenda nikae nakula kila mda ila sio chakula cha kula kushiba.
duuui have so fukn weak heart....i am so sensitive....i love easily
i get irritated easily too
i have a wife and kids but still love my ex too much that everyday i hope one day we will get back together