What are some crazy interesting conspiracy theories?

What are some crazy interesting conspiracy theories?

Rejea comment yangu ya mwanzo.
Nimeweka mtiririko wa comments zenu, na kama hautaliona kosa basi hauna nia ya kukubali.
Kuna muda mtu unaweza usione kosa, mpaka uonyeshwe, kwahiyo kama sijaona kosa na wewe unaona kosa, inabidi unionyeshe hilo kosa, kwahiyo naweza kuangalia tena na tena mtiririko nisilione kosa.
 
Rejea comment yangu ya mwanzo.
Nimeweka mtiririko wa comments zenu, na kama hautaliona kosa basi hauna nia ya kukubali.
Bibie nimesoma tena sijaona kosa.

Naomba unisaidie kitu kimoja. Hivi unaweza kuwakosoa walio simulia habari bila kukosoa habari yenyewe ? Kwangu kati ya viwili hakuna kinacho simama bila ya mwenzake.

Elimu ya uhakiki wa habari na ukosoaji wake unaangalia nukta mbili, ndio maana nikamwambia tamko "hilo" limejumuisha hivyo viwili,yaani waliosema (Sanad/Chain) na kile kilichosemwa (Matini/Habari yenyewe) . Katika elimu ya uhakiki wa habari huangaliwa wasimuliaji na kile kilichosimuliwa.

Ndio maana nikamwambia yeye ni uoga wake ulimfanya atenganishe vitu viwili visivyo tenganishwa.

Na jambo liko wazi sana.
 
"Bermuda triangle eti inavuta watu"Sasa tatizo ndo Sijui niielezeje kwa lugha ya kimalkia!Ila mi siamini
 
CIA's cyber attack on USSR's computer systems that caused explosion of the Siberia oil pipeline in 1981
 
Hivi mmeelewa comment yangu.?
Kunasehem umeona nasema naamini masuala ya Freemason?
Hizo teknolojia zote zinatoka kwa watu ambao hao mashehe na wachubgaji wanasema ni freemason/makafiri. Ndio nawashangaa kwanini watumie.?
Ulichokiandika hapa na ulichokituma mwanzo ni vitu viwili tofauti
 
Hello Guys,

There are so many conspiracy theories out there. Some of which are weird, interesting and some are stupid.

The most bizarre to me is the idea that, Birds aren’t real , they’re government spies, I mean they made up by government.

You see, they used to be until the U.S. government eradicated/killed all the birds (2001) in North America and immediately replacing them with identical, undercover surveillance drones in order to spy on its citizens . So these spies are now watching us.

And that when these birds sit on power lines they are simply using them as ‘charging ports’. Of course this makes no sense and hopefully they are not serious about this theory.

This one is weirdest, that Michelle Obama is actually a man named Michael and s/he murdered Joan Rivers.

Michelle had Joan Rivers assassinated because Rivers had proof that Michelle was a man.

The evidence that led them into this conclusion is that, Michelle shoulders are too wide to be female and the fact that she has muscles in her arms (Everybody has muscle tho). Also Barack accidentally call her Micheal in a speech.

There is even photographic evidence and videos out there.

There are so many conspiracy theories, I can't name them all, I will add more later maybe.

So what are some terrifying, crazy, interesting and most bizarre conspiracy theories in the world/you ever heard?.

Welcome guys.
G'day.
Kuna theory nyingine wanasema kuwa there is a video that CNN planned to play at the end of the world na hiyo video anayo founder ted tuner
 
Kwa hali hii sie waafrika tuna wakati mgumu sana wa kudanganyika, maana mifumo yetu ya elimu ni ya kuambiwa (copy& paste), wala hatuchanganyi za kwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Yes. Inahitaji akili na upembuzi kumtambua science denialist cz na wao ni critical thinkers.
Mbaya zaidi wapo wengi wanaopatikana kwenye echo chambers zao wakipeana back up.

Sisi tunaocopy na kupaste, na kuamini kila kinachoandikwa tupo kwa risk ya kuchukuachukua chochote.
 
Another one ni kwamba "we (humans) are prisoners and the earth is the prison, our ancestors commited crimes and were sent here.." the proof that supports this conspiracy is that our bodies are not compartible with life on earth thats why we get diseases also UFO ndio prison guards wanaokuja kutucheki kama tunaendelea vizuri huku..

Dimension of time ni different kati ya duniani na our mother (orign ) planet so wao wanaona kama wametufunga kwa miaka michache lakini kwa time ya duniani tupo kwa millions of years... siku kifungo chetu kikisha ndio siku ambayo christians wanareffer kama second comming ya messiah ambapo tutakuja kuchukuliwa na kupelekwa nyumbani kwetu ambapo hakuna magonjwa wala kifo sababu maisha ya huko ni compartible na miili yetu..

This is interesting. I love the reasoning. Whetever the case, we are smart!
 
Kuna theory nyingine wanasema kuwa there is a video that CNN planned to play at the end of the world na hiyo video anayo founder ted tuner
Hili limenijia akilini "So long and thanks for all the fish".
 
0004.jpeg
 
Back
Top Bottom