What are some crazy interesting conspiracy theories?

What are some crazy interesting conspiracy theories?

Ahsante kwa kunikumbusha hii tahadhari,ningependa kuoneshwa picha zilizopigwa na hao walioenda huko na si za kutengenezwa.
Suala la mtu kusema ameenda nje ya dunia sijawahi kulikubali(nna sababu zangu za msingi) ingawa kwa wengine inawezekana labda.kwahiyo ili tu nielewe hilo nahitaji ushahidi unaoonekana.
Tatizo lako ni uelewa tunaposema nje ya dunia inamaanisha tunaishi kwenye uso wa dunia ndani ya dunia ni ndani ya hii ardhi ambayo ina crust ,core na nini tena nimesahau
 
Huu ni uendawazimu kabisa[emoji23][emoji23]
Screenshot_20211208-105710.jpg
 
Prove kwamba hakuna Sungura aliyekuwa anaongea na fisi.
muwe mna prove wrong hizo mnazoziita conspiracy theories[emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]
 
Uongo
Nimesoma yote na nimeelewa mantiki yako uliyotaka kutushirikisha.

Ahsante kwa bandiko hili.

Ika tujue kuna video moja Bill Gate alikua anaelezea juu ya mpango wake na wenzake kutengeneza virusi vya aina fln na mwishowe akauliza, are we ready for next pandemic?

Watu watabisha ila sibishani.
 
Conspiracy theories sasa hivi zinaitwa madini[emoji1787]
Upo sahihi hizi kabisa. Watu wana conspiracy theories nyingi sana mpaka zinawafanya uwezo wao wa kufikiri. Ukitaka kuamini hili kariri huu Uzi kama tukabahatika kuishi miaka michache ijayo utakuja hivi hivi kitakachobadilika ni jina tu ila maelezo yatabakia exactly the same
 
Ni jambo rahisi sana kuelewa ila wengi kama huyu Mathanzua akili zao ziko tenge kuelewa jambo jepesi kama hili!
Nahic alisema vitu vile kwenye ile video kwa sababu yeye anadeal sana na mambo ya afya na aliona weakness kwenye sector hiyo ya afya .maana alitolea ufafanuzi akasema ebola imeipiga dunia na imeweza kudhibitiwa kutokana na ebola kuonyesha dalili mapema lakin akagusia kusema kwamba ukitokea ugonjwa ambao hauonyeshi dalili mapema itakuwa balaa.
So mm naona kwa sababu yeye anadeal na mambo hayo sana labda aliona ni vizur kuchukua tahadhar mapema.ni sawa na mkulima akikwambia "kwa hizi mvua zinazonyesha maharage hayatatoka mwaka huu" hallaf useme anashirikiana na lucifer

I stand to be corrected
 
Kibongobongo ni ile kuamini kuwa nyongo ya mamba ni sumu. Labda hii ni myth. Nyingine ni kuaminishwa kuwa demokrasia huleta maendeleo.
 
Back
Top Bottom