What are some crazy interesting conspiracy theories?

Kuna Conspiracy theory nyengine inadai kuwa Katy Perry ndie JonBenet Ramsey.

JonBenet Ramsey mtoto maarufu aliyeuawa katika mazingira ya kutatanisha mwaka 1996. Kesi yake haijapata ufumbuzi mpaka Leo.
 
Ubongo wa Mwalimu Nyerere ulichukuliwa na wazungu huko Ulaya baada ya kifo.
Mwalimu aliwapatanisha Malkia Elizabeth na Mume wake walipokuwa na mgogoro wa ndoa.
Hizi nilizisikia huko Katavi kwenye kijiwe Cha kahawa
Kali
 
Hapana, inahusu nini?
Elezea kidogo darasa duara.
Ni Conspiracy theory kuwa kuna kundi la watu wanaoabudu shetani na ambao ni ma pedophiles wanaojihusisha na child sex trafficking wanapanga njama dhidi ya rais Donald Trump na Trump yuko katika vita na watu hao.

Kwa mujibu wa Conspiracy theory hiyo ni kuwa kundi hilo linahusisha watu maarufu kama waigizaji wa Hollywood ambao ni maliberali na wanasiasa (wa Democrat).

Ni Conspiracy theory iliyoibuliwa na far right-wing na ilianzia mwaka 2017 na sasa hivi inazidi kuwa maarufu miongoni mwa wafuasi wa Trump.

Imetengenezewa kama movement fulani hivi. Isome zaidi mitandaoni imeelezewa kwa kina. Binafsi nimeanza kuisoma mitandaoni hivi karibuni. Ila nimeielewa kidogo sana.
 
Hiyo haitoshi bila ushahidi.
Kama watu walitoka hadi nje wakaona dunia ni tufe wakapiga na picha na bado mnabisha, vipi hili unawezaje kuliamini?
Au kwa sababu linahusisha imani?
Sijabahatika kuona hizo pictures zilizopigwa nje ya dunia.Unazo hapo!?
 
Nimekaa nikatulia nikasoma uzi wore kwa utulivu nilichoambulia ni maswali mengi tu kichwani,mpaka nahisi ntasumbua watu tu.Labda kwa uchache tu humu Kuna hata zilizosemwa kuwa ni conspiracy theories ambazo sio conspiracy?..yaani kuna hata tano ambazo may turn out to be real?
 
Isije kuwa ni picha za kutengenezwa na kompyuta tu...
Ahsante kwa kunikumbusha hii tahadhari,ningependa kuoneshwa picha zilizopigwa na hao walioenda huko na si za kutengenezwa.
Suala la mtu kusema ameenda nje ya dunia sijawahi kulikubali(nna sababu zangu za msingi) ingawa kwa wengine inawezekana labda.kwahiyo ili tu nielewe hilo nahitaji ushahidi unaoonekana.
 
Vipi kuhusu wanasayansi ambao wako kwenye space station ambayo inapiga picha za Dunia na kutoa info kuhusu hali ya hewa pamoja na mabadiliko ya tabia nchi? Ushawahi kufuatilia habari za Grand Voyager 1 and 2 space mission ambazo zilirusha satellite kwenda nje ya space beyond Pluto?
 
Ni Conspiracy theory kuwa kuna kundi la watu wanaoabudu shetani na ambao ni ma pedophiles wanaojihusisha na child sex trafficking wanapanga njama dhidi ya rais Donald Trump na Trump yuko katika vita na watu hao.

Kwa mujibu wa Conspiracy theory hiyo ni kuwa kundi hilo linahusisha watu maarufu kama waigizaji wa Hollywood ambao ni maliberali na wanasiasa (wa Democrat).

Ni Conspiracy theory iliyoibuliwa na far right-wing na ilianzia mwaka 2017 na sasa hivi inazidi kuwa maarufu miongoni mwa wafuasi wa Trump.

Imetengenezewa kama movement fulani hivi. Isome zaidi mitandaoni imeelezewa kwa kina. Binafsi nimeanza kuisoma mitandaoni hivi karibuni. Ila nimeielewa kidogo sana.
Asante. Nilikuwa sijaisikia kabisa.
 
Vipi kuhusu wanasayansi ambao wako kwenye space station ambayo inapiga picha za Dunia na kutoa info kuhusu hali ya hewa pamoja na mabadiliko ya tabia nchi? Ushawahi kufuatilia habari za Grand Voyager 1 and 2 space mission ambazo zilirusha satellite kwenda nje ya space beyond Pluto?
Kuna uhakika gani kuwa hizo picha haziko distorted kutokana na umbali uliopo?
 
WATAALAMU. WAKUU
THERE THINGS WHICH ARE SEEMS TO BE TRUE BUT NOT TRUE.
 
Back
Top Bottom