What are some crazy interesting conspiracy theories?

Mungu atusaidie ili tusitekwe na ulimwengu Bali tumche na kumtumaini yeye, na pia atupe uvumilivu.

Maana Imeandikwa, atakaevumilia mpaka mwisho ndio atakae okoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahic alisema vitu vile kwenye ile video kwa sababu yeye anadeal sana na mambo ya afya na aliona weakness kwenye sector hiyo ya afya .maana alitolea ufafanuzi akasema ebola imeipiga dunia na imeweza kudhibitiwa kutokana na ebola kuonyesha dalili mapema lakin akagusia kusema kwamba ukitokea ugonjwa ambao hauonyeshi dalili mapema itakuwa balaa.
So mm naona kwa sababu yeye anadeal na mambo hayo sana labda aliona ni vizur kuchukua tahadhar mapema.ni sawa na mkulima akikwambia "kwa hizi mvua zinazonyesha maharage hayatatoka mwaka huu" hallaf useme anashirikiana na lucifer

I stand to be corrected
mkuu watu wanaongea sana ila udhibitisho sifuri

Ana deal na afya ili apige pesa UKIMWI umezoeleka CORONA balsa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bill Gates Ni mmoja Kati ya bloodline ya Rothschilds, The richest family of all time, Illuminati Family, Familia iliyochanganya Damu yao ya Lucifer na kuwa watoto wake, hicho ndicho kizazi cha nyoka, ukisikia kizazi cha nyoka ndicho hicho pamoja na wengine walikuja, so wanadamu..

Na Plan yao Ni plan ya Lucifer, that's why wanamiliki au kuhusika katika kuchangia mashirika makubwa WHO, UN, World Bank na mengine mengi yakiwepo na Kijasusi kwa kwa Nia ya Ku'control the World by controling everything, even Humans. Sasa wanakamilisha mpango wa NEW WORLD ORDER Kama dream ya Baba zao Malaika walihasi Mbinguni na KUCHAFUA na kufanya uharibifu katika UUMBAJI wa Mungu katika kila kitu.. Moto, Wanyama Wa Porini, Binadamu, Ardhi na Anga.. Mungu hashindani na Lucifer, Maana Mungu aliye Hai Ni Mungu mwenye Nguvu na Mamlaka makubwa, amewahifadhi hata siku ya hukumu, hizi Ni nyakati za Mwisho, Mungu amewaruhusu kufanya walichokishindwa Kipindi Cha Nuhu, Kipindi, Cha Pharaoh na Vipindi vingine vyote..

Hii Pandemic Ni majaribio ya Hilo litakalo kuja, ndiyo maana analazimisha Vaccines to all over the world especially African people, ili uweze kusafiri na kuajiliwa lazima upate Vaccine ili usiambukize wengine.. So Nini kipo nyuma ya Kapeti Kuhusu Vaccines, hatari Sana.. So Kama Binadamu lazima utambue adui yako Ni Nani ili imani yako iwe kubwa na thabiti, bila ya Kumjua adui yako huwezi kumkwepa.. Tambua Anti-Christ anakuja na Agenda au mfumo wa Dunia unaitwa New World Order" One World Religion.. Kama Anti-Christ anakuja Basi Tambua Yupo Christ wa Ukweli nae anakuja, Ila lazima yote yatimie ndipo ule Mwisho uje na Mwana wa Adamu( YESU KRISTO ) atarudi baada ya Anti-Christ kuja kuteka Dunia kwa kutumia Alama yake ya Mnyama( Mark Of The Beast) 666.. and why Corona ipo calculated na 666..?

Jiulize Hilo, Ujue Kuna Jambo kubwa linakuja na baya zaidi katika Sura ya Mwanadamu.. KUPITIA YESU TUTAOKOLEWA, ILA UKIMWAMINI KAMA MWANA WA MUNGU ALIYE HAI ALIYEKUJA KUMWAGA DANU YAKE KWAAJILI YA WANADAMU. Na shida Ni kwamba wanadamu hawakujua Thamani ya Damu ya YESU, ilikuwa na Thamani Sana na Kwasababu haya yalijulikana yatakuja kutokea kwamaana Mungu aliye Hai Ni Mwanzo na Mwisho. So Bill Gates he just a Agent with a lot of DEMONS inside him au anaweza akawa sio binadamu kabisa Kama Mimi na wewe, sababu wapo Hao viumbe ( Aliens [emoji89] ) au Reptilians Human Hybrids"

Kwenye Logo nyingi Sana za Afya duniani utaona Nyoka wawili wamezungukana Kama DNA, zingine wamezunguka mti wenye Mabawa, Hayo Mabawa Ni ya Lucifer, na wale nyoka ndicho kizazi chake ambacho kinafanya kazi ya kuendekeza kazi za Wazazi wao ambao Ni fallen Angels.. NASA na zingine zote wanamiliki wao kwaajili ya kujiandaa na kumchunga YESU atakaporudi ili wafanye Vita nae pale Mpinga Kristo atakapoingia kwenye scene, Ila wataanguka kwa aibu Sana. Kipindi hicho wanadamu Tunatakiwa kuwa majasiri Sana Sana Sana na Kumwamini Mungu aliye Hai aliyetuumba mpaka akamtuma mwanae wa Pekee awe Mfalme wetu na njia ya kweli kufika kwa Baba take ambae Ni Baba yetu wa Kweli, sio Baba watakatifu wa Duniani au Pope kiitaliano, au Father kwa Kiingereza.. Mathayo 23:9 Wala msimwite mtu baba duniani; maana baba yenu Ni mmoja, aliye wa Mbinguni...

Na kwasababu Mungu alituumba anafahamu kwamba tuna Baba Mzazi, ambae Mungu aliye Hai anamtambua na ndiyo maana akasema kupitia Kutoka 20:12. Waheshimu Baba yako na Mama yako; siku Zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako. Mungu Wetu anaakili Sana Sana hatuwezi hata kumfananisha, na Kwasababu anatupenda alitupa taarifa tupate ufahamu..

Tuwe majasiri na Tumuombe Mungu hekima yake na atujaze Roho Mtakatifu Tuzidi kuyaona haya na watu wapate kuwatambua maadui wa wanadamu wanasababisha mengi Sana, hata kusababisha watu wasimjue Mungu wa Kweli, maana hata tangu udogo wetu tulianza kufundishwa kuwa hatukuumbwa Ila ilikuwa Evolution process" Eti tulikuwa Bacteria mpaka, tukawa samaki, mara tukawa mjusi, Mara tukawa nyani, Mara tukawa binadamu.. hii yote Ni udanganyifu mkubwa unaofanywa na kijazi cha nyoka mmoja wao Ni Bill Gates, kwasababu Kuna mpuuzi mmoja ambae inawezekana nae akawa c binadamu baada ya kuwakashifu binadamu kuwa Ni viumbe weak, hawana akili, hawaishi muda mrefu Kama wao.

Hapo ndipo utajiuliza kwanini Pyramid lipo kwenye Dollar ya Marekani na Wanaitukiza Kama ibada ya Mungu wao.. na biggest Pyramid ipo Africa, Ila Zipo nyingi Sana karibu all over the world, zingine Zipo Hadi Underground katika miji ya zamani iliyofukiwa na Gharika katika kipindi Cha Nuhu. Sahv Tupo kwenye ChekeCheo la Mungu, watenda mabaya watazidi kutenda mabaya, watenda mema watazidi kutenda mema, na hata Mataifa yote kila mtu anarudi kwao, Dunia nayo inajigawa kila siku Mataifa yanajitenga, Kuna sababu. So Tuwe majasiri na kuzidi kusameana kwa kadri tuwezavyo, Tupendane kwa kadri tuwezavyo, Tuombeane kwa kutumia Jina la Yesu, jina tulilopewa kwa kila Mwanadamu ili tupate Ukombozi na ulinzi zidi ya siku hizi za Mwisho.

Mengi Sana yanakuja na yakutisha Sana. Si lazima kukubaliana na mimi, lakini mwenye sikio na asikie na mwenye kuyaona haya hazidi kuyaona ili ajiokoe Yeye na kizazi chake chote.. Mungu Aliye Hai, Mungu aliyetuumba awabariki Sana Sana Sana na awape nguvu ya kushinda, ninyi na familia zenu na ndugu zenu na Majirani zenu na Marafiki zenu, kwa Jina la YESU KRISTO ALIYE HAI. Amen

Sent using Jamii Forums mobile app
surelyz your sure 🤷mambo mengine ni uyaache kama yalivyo tu🤔
 
Hakika ni ukweli mtupu!.... Mungu tutetee![emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahic alisema vitu vile kwenye ile video kwa sababu yeye anadeal sana na mambo ya afya na aliona weakness kwenye sector hiyo ya afya .maana alitolea ufafanuzi akasema ebola imeipiga dunia na imeweza kudhibitiwa kutokana na ebola kuonyesha dalili mapema lakin akagusia kusema kwamba ukitokea ugonjwa ambao hauonyeshi dalili mapema itakuwa balaa.
So mm naona kwa sababu yeye anadeal na mambo hayo sana labda aliona ni vizur kuchukua tahadhar mapema.ni sawa na mkulima akikwambia "kwa hizi mvua zinazonyesha maharage hayatatoka mwaka huu" hallaf useme anashirikiana na lucifer
Mambo haya ili uyaelewe unatakiwa kutumia akili kubwa pamoja na critical spiritual thinking ni sawa na kukuta wasomi wa Molecular biology wakijadili masuala ya Genetic Engineering and Gene Printing halafu nawe unataka kuunga au kutokuunga mkono hoja na akati hata Introductory Microbiology hujasoma nikimaanisha hata yule bacteria mkubwa aitwae Thiomargarita namibiensis humjui ni sawa na kupoteza muda.
Si lazima uchangie hoja hasa kwenye mijadala ambayo siyo saizi yako.
 
Kama kuna kipindi ambacho Dunia yetu inahitaji msaada ni sasa, maisha ya mwanadamu kila kukicha yanaingia kwenye sura mpya ya changamoto, ni mwendawazimu tu asiyejua hali halisi ya dunia ilivyo.

Tunaishi wakati wa Giza Nene, wakati ambapo Dhambi ni sehemu ya Maisha ya watu hata wanaojiita watu wa Mungu. Shetani ametia Giza akili za watu wasijue dhambi ni nini, na hata wakijua wanaihalalisha dhambi.

Watu wanajaa makanisani kila ibada, lakini kila Mtu ana njia zake. Ndugu zangu Mzigo wa dhambi umeilemea, Dunia nayo inaenda kuanguka wala haitainuka tena, lakini Mimi na wewe tuna nafasi ya kuokolewa.
 
Nahic alisema vitu vile kwenye ile video kwa sababu yeye anadeal sana na mambo ya afya na aliona weakness kwenye sector hiyo ya afya .maana alitolea ufafanuzi akasema ebola imeipiga dunia na imeweza kudhibitiwa kutokana na ebola kuonyesha dalili mapema lakin akagusia kusema kwamba ukitokea ugonjwa ambao hauonyeshi dalili mapema itakuwa balaa.
So mm naona kwa sababu yeye anadeal na mambo hayo sana labda aliona ni vizur kuchukua tahadhar mapema.ni sawa na mkulima akikwambia "kwa hizi mvua zinazonyesha maharage hayatatoka mwaka huu" hallaf useme anashirikiana na lucifer

I stand to be corrected
Upo sahihi hizi kabisa. Watu wana conspiracy theories nyingi sana mpaka zinawafanya uwezo wao wa kufikiri. Ukitaka kuamini hili kariri huu Uzi kama tukabahatika kuishi miaka michache ijayo utakuja hivi hivi kitakachobadilika ni jina tu ila maelezo yatabakia exactly the same
 
Mambo haya ili uyaelewe unatakiwa kutumia akili kubwa pamoja na critical spiritual thinking ni sawa na kukuta wasomi wa Molecular biology wakijadili masuala ya Genetic Engineering and Gene Printing halafu nawe unataka kuunga au kutokuunga mkono hoja na akati hata Introductory Microbiology hujasoma nikimaanisha hata yule bacteria mkubwa aitwae Thiomargarita namibiensis humjui ni sawa na kupoteza muda.
Si lazima uchangie hoja hasa kwenye mijadala ambayo siyo saizi yako.
Nimeongelea video ya ted talk ambayo bill gate ameiongelea na nilivyoelewa alichokisema . Kama una la kupinga au kuongeza ruksa acha kuzunguka
 
2012 nilikuwa natafuta chuo, it feels like was yesterday. I still remember kila kitu cha chuo. Na sioni hata kama nimekuwa (grow up) lol, I feel time is going faster.
Kuna vitu Kama kweli vile, toka 2012 na Mimi naona Kama Mambo yalibadilika na mpaka Sasa yapo yapo tuu . Muda umepita Kama juzi tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo haya ili uyaelewe unatakiwa kutumia akili kubwa pamoja na critical spiritual thinking ni sawa na kukuta wasomi wa Molecular biology wakijadili masuala ya Genetic Engineering and Gene Printing halafu nawe unataka kuunga au kutokuunga mkono hoja na akati hata Introductory Microbiology hujasoma nikimaanisha hata yule bacteria mkubwa aitwae Thiomargarita namibiensis humjui ni sawa na kupoteza muda.
Si lazima uchangie hoja hasa kwenye mijadala ambayo siyo saizi yako.
Umenena vema,kiongozi,humu wengine thread kama ile ya kula tunda kimasihara ndio saizi yao
 
Nakala nzuri sana lakini imeharibika baada ya kuchanganya mafundisho ya Paul aka Saul na kufanya ni ya Yesu..

Yesu hajawahi kusema yeye ni Mung,Yesu hajawahi sema kuwa damu yake itukizwe

Yesu mwenyewe alimuomba Mungu amsaidie Mara nyingi tu Kaka ilivyoandikwa kwenye Biblia

Mfano Luka 22:42,Yesu alimuomba Mungu amuondoshee Ile adhabu ya kusulubiwa

Marko 15:34,Yesu alimlaumu Mungu kwanini hakumsikiliza maombi yake na kumuacha asulubiwe

Matayo 7:21-27 Yesu aka Isa Kama Mtume wa Mungu,kweli atarudi Duniani,atakaporudi atakuja kuwakataa watu Kama nyinyi,.

Atakaporudi Yesu atawakataa watu mnaemsingizia na kumtukuza kupita kiasi,kumpa cheo sio chake,mnakula nguruwe,hamkati magovi nk
 
Ficha ujinga wako popoma

Back
Top Bottom