What are some crazy interesting conspiracy theories?

Dah!nina maswali kama million hivi.Wacha nitambae na link kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samaki mtu
Gravitation force eti ni 9.8
Relative density haina SI UNIT
Black hole
Uchavushaji

sijawahi kuamini haya mambo naonaga siasa tu
Samaki mtu ndio Mermaid?
I think , No I am sure they don't exist. Animal planet made fake documentary claiming the existence of mermaids.
 
Hao watakuwa ni njiwa sio spies.
Kuna comment yangu juu haujan8ijibu kuhusu theory ya dunia kuisha 2012
Mimi pia sijui kama dunia ilishaisha.Nashangaa tu kama wewe hata sijui tuko wapi na tunaelekea wapi.Kazi yangu kuamka,kwenda kibaruani,kula sana na kulala.Mwisho wa mwezi nalipa nyumba na kutuma hela nyumbani.Sina nijualo zaidi ya hilo
 
sorry sikuona hii coz app hainipi notifications
Naanza kukuelewa kidogo.ni kweli 2012 nilikua nashika mahela mengi sana. Yani ilikua kawaida kutumia milion moja kwa siku.Ngoma ilikua 2015.Hela zote zilikata nikanusurika kuwa homeless na all ugly stuffs followed me. BUT nilipata breakthrough nikatoka kule now I am in a better position.
 
Samaki mtu ndio Mermaid?
I think , No I am sure they don't exist. Animal planet made fake documentary claiming the existence of mermaids.
Hizo story za mermaid kuna sehemu niliwahi kusoma, wanadai zilipewa kiki na Christopher Columbus.

Columbus aliwahi kusema katika safari zake za baharini alikutana na mermaids kadhaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo story za mermaid kuna sehemu niliwahi kusoma, wanadai zilipewa kiki na Christopher Columbus.

Columbus aliwahi kusema katika safari zake za baharini alikutana na mermaids kadhaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes huyu Colombus ndio alisema aliwaona 3. Ila sio warembo kama watu wanavyowachora na kuwapaka rangi ni manatees.
 
Million moja kwa siku na ukaponea chupuchupu kuwa homeless. Kweli haya maisha hayana kanuni.
Sasa miaongoni mwa maelezo yao ya kuthibitisha hiyo theory ndio kama hayo.

Vipi miaka? Hauoni kama 2012 ilikuwa juzi tuu?
 
Million moja kwa siku na ukaponea chupuchupu kuwa homeless. Kweli haya maisha hayana kanuni.
Sasa miaongoni mwa maelezo yao ya kuthibitisha hiyo theory ndio kama hayo.

Vipi miaka? Hauoni kama 2012 ilikuwa juzi tuu?
Yes.ni juzi tu.just like 2020 New year ilikua juzi tu.January ikawa ndeeeefu kisha February ikaisha fasta Hamadi March balaa nikaingia na sasa siku unaenda fasta sana kesho tu itakua May 2020.I have done nothing so far naona tu mwaka umekatika just like that
 
kuhusu issue ya mabara kupotea naanza kuvuta picha kuwa flat earth wanapata nguvu kutokana na hoja hii.
means that wanasema kuna mabara mengine nje ya Antarctica


REALITY njoo uteme nondo mkuu
As long as wanao sema dunia ni mfano wa tufe wanashindwa kujibu baafh ya maswali basi flat earthers nao hawawezi kupuuzwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2012 nilikuwa natafuta chuo, it feels like was yesterday. I still remember kila kitu cha chuo. Na sioni hata kama nimekuwa (grow up) lol, I feel time is going faster.
 
Duniani kuna mengi sana ya kustajabisha...

Ni kama vile anonymous wa humu JF, unakuta ID ya kike kumbe dume, au ID ya dume kumbe mwanamke...




Cc: mahondaw
Kwani ID ya kike kumbe ya kiume na ya kiume kumbe ya kike unaijuaje na umeshasema ni anonymous humu Smart?
 
Msisahau kuhusu D.B. Cooper ?
Huyu mwamba Walishaamua wafunge mjadala wa kesi yake, maana kila wakiunganisha dot, inafka hatua zinagongana.....
Nani alimuua J.F. Kennedy?
Mother of all conspiracy,
CIA, Mafia, Cuba, Pr Johnson na wengne wengj...
Kila aliekua anaelekea kujua ukweli, anatembezewa chuma, kuanzia Osward, Junky.......,
Kuna taarifa km hivi karibuni CIA na President office utatoa ukweli wa kifa cha JFK, na walishatoa baadhi ya Documents ila watu wanasema still itakua ni muendelezo wa Conspiracy zao kuzidi kuchanganya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…