What Are Tanzanians good at or renowned for ?Je watanzania wanatambulika kwa jambo gani duniani?

Zaman tulitambulika kisiwa cha Amani .

Ngoja waje wanajua saiz.tunatambulikaje
 
Halafu pia kwenye Youtube na kwenye sinema zao, wanapenda sana mambo ya mchezo wa kitandani, sijui kwa nini?
 
Tanzania haijulikani kwa chochote isipokuwa hivi maajuzi wameanza kujulikana kidogo kwa tourism baada ya Magufuli kuingia ofisini. Kabla ya Magufuli, Tanzania haikuwa inajulikana kwa chochote

Umeongea vyema. Lkn umeruka historia. Fuatilia historia. Utajua tu tulikuwa mstari wa mbele wa MAMBO GANI!!!
 
I understand that Kenya has the highest rate of people affected by HIV AIDS compared to Tanzania, that sums up the fact that Tanzania is well known worldwide for being less affected Than their lacklustre neighbours!
 
Tanzania haijulikani kwa chochote isipokuwa hivi maajuzi wameanza kujulikana kidogo kwa tourism baada ya Magufuli kuingia ofisini. Kabla ya Magufuli, Tanzania haikuwa inajulikana kwa chochote
KISIWA CHA AMANI MILELE
 
Tanzania haijulikani kwa chochote isipokuwa hivi maajuzi wameanza kujulikana kidogo kwa tourism baada ya Magufuli kuingia ofisini. Kabla ya Magufuli, Tanzania haikuwa inajulikana kwa chochote
Kwa kiswahili pia, mount kilimanjaro, zanzibar island, diplomasia, nyerere, serengeti, ngorongoro, Bongo flavour
 
Wabongo mmeyandika mengi lakini kwa ufupi ni kuwa amna jambo lolote ambalo linaweza kumfanya maarufu... hivi vitu mnavyo sema ni vya kawaida,eti mnajulikana kwa amani???na nchi kama botswana itajuilkana kwa??? kiswahili? kila mtu anafahamu ni cha kenya duniani nawaomba mtie bidii mtambulike kwa vitu vya maana na muache uvivu na wivu vitu ambavyo mnatambulika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…