Nairoberry
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 932
- 525
wajua nimetafakari mpaka kichwa kika niuma, watanzania wanatambulika kwa kuwa maarufu kwa jambo gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufanya Mapenzi na Kulogawajua nimetafakari mpaka kichwa kika niuma, watanzania wanatambulika kwa kuwa maarufu kwa jambo gani?
Tanzania haijulikani kwa chochote isipokuwa hivi maajuzi wameanza kujulikana kidogo kwa tourism baada ya Magufuli kuingia ofisini. Kabla ya Magufuli, Tanzania haikuwa inajulikana kwa chochote
We r good at feeding u! Ask WFP will tell u!wajua nimetafakari mpaka kichwa kika niuma, watanzania wanatambulika kwa kuwa maarufu kwa jambo gani?
Tunatambulika kwa kuwaoa wakenya...wajua nimetafakari mpaka kichwa kika niuma, watanzania wanatambulika kwa kuwa maarufu kwa jambo gani?
Waulize dada zenu... au unawaonea wivu?Halafu pia kwenye Youtube na kwenye sinema zao, wanapenda sana mambo ya mchezo wa kitandani, sijui kwa nini?
Tanzania haijulikani kwa chochote isipokuwa hivi maajuzi wameanza kujulikana kidogo kwa tourism baada ya Magufuli kuingia ofisini. Kabla ya Magufuli, Tanzania haikuwa inajulikana kwa chochote
wajua nimetafakari mpaka kichwa kika niuma, watanzania wanatambulika kwa kuwa maarufu kwa jambo gani?
KISIWA CHA AMANI MILELETanzania haijulikani kwa chochote isipokuwa hivi maajuzi wameanza kujulikana kidogo kwa tourism baada ya Magufuli kuingia ofisini. Kabla ya Magufuli, Tanzania haikuwa inajulikana kwa chochote
Hahahaha kali!Waulize dada zenu... au unawaonea wivu?
Ahsante kwa kunisaidia kumwongezea neno shemeji yetu.Hahahaha kali!
Hilo ni lauso walahi!
Nami namalizia kwa mate ya uso walahi!
Kama Watanzania hawatambuliki Duniani hata Wakenya hawatambuliki pia, nje ya Afrika hakuna Kenya wala TZ wote ni niggers tu!
Kwa kiswahili pia, mount kilimanjaro, zanzibar island, diplomasia, nyerere, serengeti, ngorongoro, Bongo flavourTanzania haijulikani kwa chochote isipokuwa hivi maajuzi wameanza kujulikana kidogo kwa tourism baada ya Magufuli kuingia ofisini. Kabla ya Magufuli, Tanzania haikuwa inajulikana kwa chochote