Msaada gani na huwa tunanunua kwa pesa yetu. Unategemea middle income iombe msaada kwa LDC.Nyie mnaekula chakula kwa gharama ya serikali hata aibu hamna Marekani wanaita stamp food π² hichi chakula wanapewa homeless people na watu fukara kupindukia, nyie ni Taifa zima linalishwa na serikali. Shame indeed
Fukara mnategemea Tanzania kwenye malighafi mpaka chakula cha msaada kutoka Tanzania.
Lakn wengi wanadhani Kilimanjaro iko Kenya!Kwa kiswahili pia, mount kilimanjaro, zanzibar island, diplomasia, nyerere, serengeti, ngorongoro, Bongo flavour
Kwa kuimudu na kuitumia vema lugha ya kiswahili katika nyanja nyingi kuliko taifa lingine lolote duniani.wajua nimetafakari mpaka kichwa kika niuma, watanzania wanatambulika kwa kuwa maarufu kwa jambo gani?
Did you understand me?Msaada gani na huwa tunanunua kwa pesa yetu. Unategemea middle income iombe msaada kwa LDC.
The largest city slum in the worldπKenya inajulikana kuwa na Kibera na mathare.
ni kama sisi watz tunapofika nairobi tunadhani wakenya wengi ni wa south sudanese katokana na weusi wenyu uliopitiliza. [emoji23][emoji23][emoji23]Lakn wengi wanadhani Kilimanjaro iko Kenya!
Haha wewe, hii ni below belt.... khaa!!!ni kama sisi watz tunapofika nairobi tunadhani wakenya wengi ni wa south sudanese katokana na weusi wenyu uliopitiliza. [emoji23][emoji23][emoji23]
hakuna namna comrade....acha tu nipige chini ya mkanda....[emoji23]Haha wewe, hii ni below belt.... khaa!!!
Kwani kuwa nweusi ina kasoro gani? Wa-sSudan si binadamu, maumbile ya mungu tu?ni kama sisi watz tunapofika nairobi tunadhani wakenya wengi ni wa south sudanese katokana na weusi wenyu uliopitiliza. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wengi wepi hao, una proofs? Hamna hiyo kitu tena, ilikuwa zamani. Tatizo wakenya mmestuck kwenye nadharia za zamani kuhusu Tz. Bakini hapo hapo.Lakn wengi wanadhani Kilimanjaro iko Kenya!
I consider you a gentleman hereLakn wengi wanadhani Kilimanjaro iko Kenya!
ume-catch ma-feelings brother.. [emoji23][emoji23][emoji23]Kwani kuwa nweusi ina kasoro gani? Wa-sSudan si binadamu, maumbile ya mungu tu?
Nyinyi na huo uweupe wenyu mnatajika kwa kipawa ipi hasa duniani?