Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Msaada gani na huwa tunanunua kwa pesa yetu. Unategemea middle income iombe msaada kwa LDC.Nyie mnaekula chakula kwa gharama ya serikali hata aibu hamna Marekani wanaita stamp food 🍲 hichi chakula wanapewa homeless people na watu fukara kupindukia, nyie ni Taifa zima linalishwa na serikali. Shame indeed
Fukara mnategemea Tanzania kwenye malighafi mpaka chakula cha msaada kutoka Tanzania.