What does kisumu port construction means to Mwanza, Bukoba and Port Bell?

[emoji23][emoji23][emoji23] 5% tu mnapiga kelele what if 50% zingekuwa Kenya?
Nikisema mnatumia asilimia moja ya akili zenyu kureason mnaona vibaya, sasa wewe umeona wapi tukidiscuss kuhusu lake Victoria? We are talking about the port of Kisumu young man. Anyway, this is where most of you belong.
 
Acha ujinga wewe,Kwani wafanyabiashara nd'o watakuwa wanarun the train ama govt?
Huna akili ya kujadili mada muhimu kama hizi. Hivi unawezaje kuniuliza swali la kipuuzi kama hilo?. Hivi ukiambiwa running cost za Electric train ni ndogo kuliko za diesel Engine, huwezi kuunganisha kwamba gharama za usafirishaji kwa kutumia Electric trains ni cheaper kuliko diesel?, stupid.
 
Nimekuuliza a very simple question wewe unaanza matusi, I'll just forgive you because I have known your problem.
 
You don't built with your own money, you built using grants and donations which whites gives you yearly.
Hahahaha, hujasikia juzi Magufuli ameweka jiwe la msingi wa ujenzi wa bwawa kubwa la UMEME wa MAJI utakaozalisha 2015 MW by June 2022, kwa gharama ya $3B pesa ya ndani?.
 
Umeulizwa hyo 40% umeitoa wapi...bado unatapatapa
 
You don't built with your own money, you built using grants and donations which whites gives you yearly.
Ninajua mnaumia Sana mkisikia Tanzania inajenga miradi mikubwa kwa pesa yake, miradi ambayo Kenya haina uwezo hata ya kufikiria kujenga bila mikopo, zaidi ya kelele za GDP kubwa lakini hakuna chochote GoK inaweza kuonyesha kwamba ni matokeo ya kodi za wananchi.

By the way, hilo daraja lenye urefu wa 3.7Km litagharimu $350M, pia ni pesa ya ndani, endeleeni kusema Kenya ina GDP kubwa, sisi tunafanya mambo makubwa kwa kutumia GDP ndogo. Tanzania hoyeeee
 
Hehehe grants tialala, donations tibiim. Tz doesn't have the muscles to finance its budgets. For your information, Lamu port is financed by GoK.
 
Hehehe grants tialala, donations tibiim. Tz doesn't have the muscles to finance its budgets. For your information, Lamu port is financed by GoK.View attachment 1166682
Huko ndio kuumia kwenyewe ninakozungumzia. Mnashangaa kuona miradi mikubwa inafanyika wakati huko kwenu hata ile mliyokopa pesa bado imeshindikana, Galana Kulalu, Laptop per child, Greenfield terminal, Dams, na mingine mingi imeshindikana kwa ufisadi na ukabila, sisi huku kila siku mambo yanazidi kupendeza.
 
Bagamoyo iko wapi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
So unaunga hoja ya 50% bado...yani wewe haswa...km ni 50% basi unafikiria diesel trains zingelikuwepo..
Onyesha ni nchi gani duniani inayojenga reli sasa hivi ambayo inajenga diesel railway, hizi unazoziona ndio zinaishia hivyo, hawawezi kuzisimamisha ghafla, lazima kuwepo na kipindi cha mpito.
 
Let's agree that all those projects mnafanya are being financed by grants and donations. Tukishaagree tutaproceed to hizo zingine.
 
Bagamoyo iko wapi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huo haukuwa mradi wa serikali, ulikuwa ni pure private investment, ila serikali ndio ilikataa baada ya kuona hauna maslahi kwa taifa.

Sisi tunazingumzia miradi ya serikali, kwasababu hicho ndio kipimo cha kujua kama serikali ipo imara au Hapana.
 
Hehehe eti tunafanya na pesa za ndani. So mseme tu eti mnadanya na pesa za kusaidiwa.
Onyesha ni nchi gani duniani inayojenga reli sasa hivi ambayo inajenga diesel railway, hizi unazoziona ndio zinaishia hivyo, hawawezi kuzisimamisha ghafla, lazima kuwepo na kipindi cha mpito.
 
Hiyo ndio inayoitwa denial and jealous. Nani aliyekuambia kwamba pesa ya donation na grant unaruhusiwa kuitumia katika miradi ya maendeleo, jaribu kujielimisha kwanza kabla ya kusema.

Hivi tukuzungumza miradi ya $10B, ni nchi gani duniani inayopokea misaada ya kiwango hicho?. Pesa yote ya misaada ibayokuja katika nchi zote sita za EAC ukijumlisha pamoja hazifiki $5B. Miradi tunayojenga kwa pesa yetu hadi sasa imeshafika $10B. Tanzania hoyeeeee.
Let's agree that all those projects mnafanya are being financed by grants and donations. Tukishaagree tutaproceed to hizo zingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…