Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 5% tu mnapiga kelele what if 50% zingekuwa Kenya?
Nikisema mnatumia asilimia moja ya akili zenyu kureason mnaona vibaya, sasa wewe umeona wapi tukidiscuss kuhusu lake Victoria? We are talking about the port of Kisumu young man. Anyway, this is where most of you belong.[emoji23][emoji23][emoji23] 5% tu mnapiga kelele what if 50% zingekuwa Kenya?
Huna akili ya kujadili mada muhimu kama hizi. Hivi unawezaje kuniuliza swali la kipuuzi kama hilo?. Hivi ukiambiwa running cost za Electric train ni ndogo kuliko za diesel Engine, huwezi kuunganisha kwamba gharama za usafirishaji kwa kutumia Electric trains ni cheaper kuliko diesel?, stupid.Acha ujinga wewe,Kwani wafanyabiashara nd'o watakuwa wanarun the train ama govt?
Hahahaha, hujasikia juzi Magufuli ameweka jiwe la msingi wa ujenzi wa bwawa kubwa la UMEME wa MAJI utakaozalisha 2015 MW by June 2022, kwa gharama ya $3B pesa ya ndani?.That is if you have enough power and money to run it.
Nimekuuliza a very simple question wewe unaanza matusi, I'll just forgive you because I have known your problem.Huna akili ya kujadili mada muhimu kama hizi. Hivi unawezaje kuniuliza swali la kipuuzi kama hilo?. Hivi ukiambiwa running cost za Electric train ni ndogo kuliko za diesel Engine, huwezi kuunganisha kwamba gharama za usafirishaji kwa kutumia Electric trains ni cheaper kuliko diesel?, stupid.
Hahahaha, hujasikia juzi Magufuli ameweka jiwe la msingi wa ujenzi wa bwawa kubwa la UMEME wa MAJI utakaozalisha 2015 MW by June 2022, kwa gharama ya $3B pesa ya ndani?.
Huna akili ya kujadili mada muhimu kama hizi. Hivi unawezaje kuniuliza swali la kipuuzi kama hilo?. Hivi ukiambiwa running cost za Electric train ni ndogo kuliko za diesel Engine, huwezi kuunganisha kwamba gharama za usafirishaji kwa kutumia Electric trains ni cheaper kuliko diesel?, stupid.
Ninajua mnaumia Sana mkisikia Tanzania inajenga miradi mikubwa kwa pesa yake, miradi ambayo Kenya haina uwezo hata ya kufikiria kujenga bila mikopo, zaidi ya kelele za GDP kubwa lakini hakuna chochote GoK inaweza kuonyesha kwamba ni matokeo ya kodi za wananchi.You don't built with your own money, you built using grants and donations which whites gives you yearly.
Make google your friend.Umeulizwa hyo 40% umeitoa wapi...bado unatapatapa
Hehehe grants tialala, donations tibiim. Tz doesn't have the muscles to finance its budgets. For your information, Lamu port is financed by GoK.Ninajua mnaumia Sana mkisikia Tanzania inajenga miradi mikubwa kwa pesa yake, miradi ambayo Kenya haina uwezo hata ya kufikiria kujenga bila mikopo, zaidi ya kelele za GDP kubwa lakini hakuna chochote GoK inaweza kuonyesha kwamba ni matokeo ya kodi za wananchi.
By the way, hilo daraja lenye urefu wa 3.7Km litagharimu $350M, pia ni pesa ya ndani, endeleeni kusema Kenya ina GDP kubwa, sisi tunafanya mambo makubwa kwa kutumia GDP ndogo. Tanzania hoyeeee
Make google your friend.
Huko ndio kuumia kwenyewe ninakozungumzia. Mnashangaa kuona miradi mikubwa inafanyika wakati huko kwenu hata ile mliyokopa pesa bado imeshindikana, Galana Kulalu, Laptop per child, Greenfield terminal, Dams, na mingine mingi imeshindikana kwa ufisadi na ukabila, sisi huku kila siku mambo yanazidi kupendeza.Hehehe grants tialala, donations tibiim. Tz doesn't have the muscles to finance its budgets. For your information, Lamu port is financed by GoK.View attachment 1166682
Huko ndio kuumia kwenyewe ninakozungumzia. Mnashangaa kuona miradi mikubwa inafanyika wakati huko kwenu hata ile mliyokopa pesa bado imeshindikana, Galana Kulalu, Laptop per child, Greenfield terminal, Dams, na mingine mingi imeshindikana kwa ufisadi na ukabila, sisi huku kila siku mambo yanazidi kupendeza.
Onyesha ni nchi gani duniani inayojenga reli sasa hivi ambayo inajenga diesel railway, hizi unazoziona ndio zinaishia hivyo, hawawezi kuzisimamisha ghafla, lazima kuwepo na kipindi cha mpito.So unaunga hoja ya 50% bado...yani wewe haswa...km ni 50% basi unafikiria diesel trains zingelikuwepo..
Huko ndio kuumia kwenyewe ninakozungumzia. Mnashangaa kuona miradi mikubwa inafanyika wakati huko kwenu hata ile mliyokopa pesa bado imeshindikana, Galana Kulalu, Laptop per child, Greenfield terminal, Dams, na mingine mingi imeshindikana kwa ufisadi na ukabila, sisi huku kila siku mambo yanazidi kupendeza.
Huo haukuwa mradi wa serikali, ulikuwa ni pure private investment, ila serikali ndio ilikataa baada ya kuona hauna maslahi kwa taifa.Bagamoyo iko wapi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Onyesha ni nchi gani duniani inayojenga reli sasa hivi ambayo inajenga diesel railway, hizi unazoziona ndio zinaishia hivyo, hawawezi kuzisimamisha ghafla, lazima kuwepo na kipindi cha mpito.
Let's agree that all those projects mnafanya are being financed by grants and donations. Tukishaagree tutaproceed to hizo zingine.