Mimi ni Mtanzania ninayeona fursa hapa. Si mfuasi wa Lumumba anayeshabikia mambo bila kufikiri.Tatizo la wakenya hawana soko la bandari zao macho kodooo Tanzn, mtapata tabu kwa goli la kisigino subirini ππ
Binafsi sijakuelewa unamaanisha nini.Kiukweli ni rahisi kusafirisha bidhaa kutoka Mombasa to Uganda au mwanza and lake zone as hole via kisumu instead of dar,huu ni ukweli mchungu
Kama serikali ya Tzn ingekuwa serious bandari ya kuijenga ni tanga na musoma,reli ya tanga Arusha hadi musoma hapo zingegawana biashara na Uganda huku ikiconsolidate biashara ya mwanza na Arusha sio hiyo reli ya kati,ile ingekuwa maalumu kwa Burundi,rwanda na east DRC tuu
MombasaKwani Mwanza na Arusha mizigo yao hua inapita wapi?
Hiyo ni Bandari mnajenga au mtaro wa Maji?
Itakuwa Bodaboda shade?
Toeni weave vichwani. ZinanukaHahaha,
Hawa jamaa akili zao.
Ubongo wako umeoza, you wake up piss drunk from chang'aa to come and write those nonsense!!Kweli.
* Tungefaa kuwa na currency Moja but Tz na UG uchumi zao zinaharibu Kila kitu.
[emoji849][emoji849][emoji849]Ukweli lazima usemwe. If East Africa happen to becomes a country, Kenya Ndio ingepata hasara kubwa because of it's lazy neighbors.Ubongo wako umeoza, you wake up piss drunk from chang'aa to come and write those nonsense!!
[emoji849][emoji849][emoji849]Ukweli lazima usemwe. If East Africa happen to becomes a country, Kenya Ndio ingepata hasara kubwa because of it's lazy neighbors.
Hata SA walianza hivyo hivyoNa Nani alikudanganya Kenya Kuna xenophobia? Jaguar hasimamii wakenya wote. He is just a Politician. And has been arrested as we speak.
Mbona watz wanalia kuliko nchi zote ambazo zilitajwa.
Utakuwa umerogwa wewMombasa
hakukuwa na taarifa za mtz kufariki huko SA acha uongoWhat did you do to SA vile waliuwa watanzania huko?
We kweli Mbulu kenge,mfanyabiashara dungaembe kama ww ndio anaweza safirisha mzigo wake kutoka Dar port had mwanza then apakie kwenye meli hadi port bell Uganda akaacha kutumia route fupi ya Mombasa kisumu to portbellUtakuwa umerogwa wew
tatizo lenu majiran zetu ni watu wa show off nakufikir eti wenzao wamelala iv mnajua kama tuna project ongoing ya kukarabati bandari ya mwanza kuiunganisha na reli ya SGR toka isaka then kusafirisha mizigo kuelekea port bella uganda !!! ss sijui kama ilijambo mnajua !!
Funny thing ni kuwa hakuna Mkenya ashawahi guzwa huko SA unlike noisy "tuliwakomboa" Tanzanians. Inaonekana Tz compete directly with Mzansi in the informal sectors hence the backlash.Hata SA walianza hivyo hivyo
Google image... instead of agueHahaha wivu mbaya, I asked you here to show us airports za Arusha na Mwanza lakini hujaniletea hadi saa ii.