instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Mwanza na Bukoba kuna bandari mbili kubwa kila upande.Yaani hapo tumekamata Uganda ikakamatika, tunafuata asilimia 10% ambazo walikua wanafuata Tz, na pia Bukoba na Mwanza tunawatia kapuni kabisa.
Mwanza kuna mwanza south port na north
Na Bukoba kemondo post and Bukoba port( custom) na zimeboreshwa.
Na kuna Meli kubwa zinajengwa pale mwanza.huku MV Victoria ikirudi Kwa kishindo ikibeba abiria 1200 Kati ya mwanza na bk