waOLDmoshi
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 879
- 1,749
Mwanza South PortDoes Mwanza even have a port?
Iyo ni meli ya mizigo yenye reli ndani, inapeleka mizigo port bell Uganda.
Achana na izo pantoni zenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanza South PortDoes Mwanza even have a port?
Nani amekudanganya Kisumu haina hiyo?Mwanza South Port
Iyo ni meli ya mizigo yenye reli ndani, inapeleka mizigo port bell Uganda.
Achana na izo pantoni zenu. View attachment 1162849
Hiyo hata contena 7 haibebi.Nani amekudanganya Kisumu haina hiyo?View attachment 1162856
Huyu achana na yeye. After the port is complete sijui watakua wanaringia watu na Nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nani amekudanganya Kisumu haina hiyo?View attachment 1162856
Ur ferry does not operate!Nani amekudanganya Kisumu haina hiyo?View attachment 1162856
Yaani wewe ni kichaa kabisa. Unataka kufananisha Kisumu na Mwanza.What do a Tanzanian witch know about Kisumu? All you do is guess work.
Yaani wewe ni kichaa kabisa. Unataka kufananisha Kisumu na Mwanza.
Kenya own only 6% of lake. While Tanzania 50%.
Ni kichaa pekee anaweza kuleta ubishi unaoleta humu.
So Kisumu boats zake zinaelekea wapi!?
All of them are being done concurrently..There is the Lamu SEZ, Naivasha Industrial Park,Uasin Gishu Industrial Park, Kisumu SEZ, Tatu City Industrial Park, Infinity Industrial Park, Viking Thirty Industrial Park.......
What do a Tanzanian witch know about Kisumu? All you do is guess work.
Kwa hiyo wafanyabiashara wataacha reli yenye train zenye speed ya 120km/h na gharama nafuu kwa kutumia umeme waende ya 80km/h yenye kutumia diesel. Msikilize vizuri Kagame na latest Museveni aliyeomba SGR ya Tanzania ifike mpakani! Kuelewa kinachoendelea, SGR Kenya ni mzigo wa gharama kubwa usioweza kujiendesha!Ukweli ni kwamba port ya kisumu ikipanuliwa na reli ikifika hakuna mganda atatumia njia ndefu ya Dar mwz unless huko Mombasa kuwe na shida,tena sio waganda tuu hata wafanyabiashara wa kanda ya ziwa watatumia Mombasa na kisumu maana ndio njia fupi.Tegemeo pekee la kufanya vizuri kwa bandari ya mwanza ni sgr ya umeme tu in terms of speed la sivyo itakufa
Niliwahi kusema kama serikali ya Magu ingetaka kupata walau 30% ya mzigo wa Uganda huku ikitegemea kutopokonywa na kulinda biashara ya kanda ya ziwa basi ilitakiwa kupanua bandari ya Tanga na kuijenga bandari ya musoma theni ijengwe reli ya sgr kati ya Tanga na Musoma lakini sio siasa za kupeleka sgr mwanza eti itacompete na route ya Mombasa thubutu
Hiyo ni design speed train inaweza safari chini ya hapo na kumbuka hiyo route ni ndefu sana plus ukiritimba bandariniKwa hiyo wafanyabiashara wataacha reli yenye train zenye speed ya 120km/h na gharama nafuu kwa kutumia umeme waende ya 80km/h yenye kutumia diesel. Msikilize vizuri Kagame na latest Museveni aliyeomba SGR ya Tanzania ifike mpakani!
Venye unareason I'll just forgive because now nishajuanatumia 1% of your brain.Yaani wewe ni kichaa kabisa. Unataka kufananisha Kisumu na Mwanza.
Kenya own only 6% of lake. While Tanzania 50%.
Ni kichaa pekee anaweza kuleta ubishi unaoleta humu.
So Kisumu boats zake zinaelekea wapi!?
Actually 51%!Yaani wewe ni kichaa kabisa. Unataka kufananisha Kisumu na Mwanza.
Kenya own only 6% of lake. While Tanzania 50%.
Ni kichaa pekee anaweza kuleta ubishi unaoleta humu.
So Kisumu boats zake zinaelekea wapi!?
Cause ur SGR cargo trains move less than 70km/h, doesnt mean ours will move less than 120km/h! Just stop ur fantasy!Hiyo ni design speed train inaweza safari chini ya hapo na kumbuka hiyo route ni ndefu sana plus ukiritimba bandarini