What does new Ethiopia to Djibouti Road Project mean to Kenyas Lamu Port?

What does new Ethiopia to Djibouti Road Project mean to Kenyas Lamu Port?

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Dah ila kama ni gundu jirani mnalo gundu sijui mkaoge na nini hili gundu liwatoke, hii ina maana Ethiopia haina haja na yote myafanyayo kwenye hiyo lapset yenu

So far barabara ya Isiolo imekamilika lakini hakuna hata lorry moja linalotoa mzigo Mombasa kupeleka Ethiopia, huu ni msiba, hii ni white elephant kabisa on the jacuzzi.

The African Development Bank (AfDB) has approved a $98 million financial package for Ethiopia for a road transport corridor project to neighbouring Djibouti, it said late on Tuesday.

The project’s total cost is $255 million, comprising an AfDB grant of $98 million to Ethiopia’s government and an AfDB grant of $5.3 million to Djibouti’s government, plus a co-financing contribution of $151 million by Ethiopia’s government.

“The project will enhance trade by significantly reducing transport costs, thereby accelerating the economic growth of Ethiopia and its neighbour Djibouti, as it is part of the main import-export corridor,” the AfDB said in a statement.

That is a big miss.
😁😂🤣
😋😋
 
😅😅😅 Baba wao wa democracy mambo yamuendea hali jojo na mchina anataka rejesho lake upesi.

Mchina ni hatari kwa kuwapapasa watu. Na kiinglishi uchwara chao chote kawaingiza mjini.
 
Mchina ni hatari kwa kuwapapasa watu. Na kiinglishi uchwara chao chote kawaingiza mjini.
Unaambiwa barabara mpya ya Isiolo wananzengo wameamua kuigeuza uwa wa kuanikia mazao yao sababu hakuna kinachopita zaidi ya punda all day long 😅😅😅
 
Unaambiwa barabara mpya ya Isiolo wananzengo wameamua kuigeuza uwa wa kuanikia mazao yao sababu hakuna kinachopita zaidi ya punda all day long 😅😅😅

Hao ni wazee wa kukurupuka. Mara nyingi wanafanya vitu bila kutafakari kwa kina.
😁😂🤣
 
Mkasema SGR yenu itatupiga competition na Hadi Sasa KM50 zimewashinda,

Mkasema SGR Ethiopia itatupiga Competition na Hadi wa leo ina underperform.

Mkasema Precision Air( Geza Ulole nyakati zile alikuwa mdomo bakuli, siku hizi Bagamoyo ilimpunguza mdomo) itaimaliza KQ...Sasa ATCL ndio inapambana na hiyo ATCL huku KQ ikienda NY 🙄🙄

Mkasema ATCL itaichapa KQ Ila hata Kampala mliotuimbia na Chato zimewashinda ilhali KQ inabamba from Dar to Mumbai to Joburg to Schipol to Amsterdam to Guangzhou to New York baybeee.

Mkasema pipeline mnachukua ilhali Hadi Sasa hamna kitu na vile vile Kenya kesha fanya 1st crude oil export 🤸🤸

Mkasema na Magu uchumi wenu utaupita wetu, 5 years later our economy is nearly twice yours.

Mkasema mtatutandika kule Misri, tukawatwanga sawasawa Hadi wengine wenu wakahama CCM.

Mkasema Dar ni kubwa na more developed than Nairobi. Tukawaambia muweke any dual carriageway in Dar 10km long, ikaishia nyie kutokwa povu.

Mkasema Dar Port itaipiku Mombasa, hata Sasa tunangoja hizo tuta- tuna.

Mkasema Bagamoyo vs Lamu, Sasa tunasema sote Mombasa Port vs Lamu Port 🤔🤔

Who needs a hug? We got plenty of transformers in Kenya...2700MW hapa Kenya, Tanzania bado wanachezea 1359.69MW kwa population ya zaidi ya millioni 60 hata nashangaa viwanda vy kukamulia juisi vinafanya kazi vipi kwa umeme huo wa mgao.

Kibaka Highway just 19km imewashinda na hamna hata Haya mkilinganisha kinibarabara Kama hicho na Uhuru Highway.
 
Hao ni wazee wa kukurupuka. Mara nyingi wanafanya vitu bila kutafakari kwa kina.
😁😂🤣
Miradi mikubwa ikiwemo kama huu wa Lamu Port kuwa inakua ni miradi inayopanuliwa, developed, expanded, renovated, phased kutokana na already existing customers

Sasa hii Lamu Port haikuwa na customers wowote, they planned the expensive project by the expense of stealing third party customers, before this hakuna history yoyote ya Ethiopia kupitisha mzigo Mombasa at all.

Miradi inayoanzishwa kwa mfumo huu huwa inakua highly risk projects na mwisho wa siku huwa White elephants

Silk Road project ya China tayari ilikuwa ipo miaka mingi, wanachofanya saivi is just renovations and simplification.

Hata bandari ya Bagamoyo mchina alileta sharti moja ambalo amekomaa nalo ni kutoziendeleza bandari zote zingine, analijua lengo lake lilikuwa nini.
 
Wameanzisha project porini, kwenye zero demand. Wanatakiwa wa create demand. Jambo ambalo si rahisi in short run.
Labda kuna Washua walitaka wapige 10% yao halafu watambae.
 
Hao ni wazee wa kukurupuka. Mara nyingi wanafanya vitu bila kutafakari kwa kina.
😁😂🤣
Sasa kwa akili zako za kunya msituni unataka kusema kuwa hatufai kuwa na road connection to Southern Ethiopia white are our neighbors? Si niliona Mozambique pia Kuna upande wao hawajaanza hata kuweka lami Ila nyie kwa kiherehere yenu mshakamilisha?
 
For Ethiopia, lamu port is not a priority.
😂🤣😁
 
For Ethiopia, lamu port is not a priority.
😂🤣😁
It is our priority not theirs. Sio mnunuzi hutegemea mchuuzi Ila ni mchuuzi hutegemea mnunuzi. See where you twats get it wrong in the world of business? Mimi Kama mfanyibiashara nafaa nutengeneze mazingara muhimu kuwavutia wateja wangu not the other way round na ndio maana Lamu Port is a Kenyan Priority na sio Ethiopia.
 
Ati hakuna lorry ata Moja inaingia Ethiopia,
Hizi uongo ndizo huwa mnapumbaza watanzania wajinga kama wewe?
Na unapata likes,,,mmelaaniwa.
Enda moyale uone mlolongo ya malorri,si story za CCM mchana tawala kamaKANU unaleta hapa.
Ccm sio kama kanu, kanu ilikuwa na vilaza. Do u even know ccm is schooling jubilee.
 
Back
Top Bottom