UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,885
Salaam zenu waungwana mko salama? Well, tukazane kuchakarika hasa sisi wa jinsia me maana hizi standards siku hizi sio mchezo
Kuna maswali ambayo vijana yamekua ni kitendawili kwetu hasa kwa wale wanaojitazama kuwa watu flani baada ya muda flani
Maswali haya yamekatiza kichwani na kuongeza msukumo wa kutafuta, watoto wa mjini wanasema kujipanga. lakini swali lililo kuu hujiulizi wewe binafsi bali sorounds huuliza kwa mantiki ya kutaka kujua je? Tuko conected sehemu sahihi? Au kwa mbabaishaji tu wa mjini..
Kimsingi, binafsi nilishawahi hulizwa hili swali mara nyingi zaidi na mabinti nilio kutana nao katika mahusiano lakini ilifika mbali nilipoenda kutambulishwa ukweni nikakutana na swali hili "WHAT YOU DOING FOR A LIVING?"
Umeshwahi kutana na swali hili wapi ndugu yangu?(mazingira gani)
Umeshwah jiuliza technical reason za kuulizwa swali hili?
Je hujawahi kuhisi jibu la swali hili ndio ilikua gateway ya matokeo yaliyotokea tangu hapo ?
What u doing for a living??