What doing for a living?

What doing for a living?

UrbanGentleman

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2016
Posts
2,584
Reaction score
1,885
Salaam zenu waungwana mko salama? Well, tukazane kuchakarika hasa sisi wa jinsia me maana hizi standards siku hizi sio mchezo

Kuna maswali ambayo vijana yamekua ni kitendawili kwetu hasa kwa wale wanaojitazama kuwa watu flani baada ya muda flani

Maswali haya yamekatiza kichwani na kuongeza msukumo wa kutafuta, watoto wa mjini wanasema kujipanga. lakini swali lililo kuu hujiulizi wewe binafsi bali sorounds huuliza kwa mantiki ya kutaka kujua je? Tuko conected sehemu sahihi? Au kwa mbabaishaji tu wa mjini..

Kimsingi, binafsi nilishawahi hulizwa hili swali mara nyingi zaidi na mabinti nilio kutana nao katika mahusiano lakini ilifika mbali nilipoenda kutambulishwa ukweni nikakutana na swali hili "WHAT YOU DOING FOR A LIVING?"

Umeshwahi kutana na swali hili wapi ndugu yangu?(mazingira gani)

Umeshwah jiuliza technical reason za kuulizwa swali hili?

Je hujawahi kuhisi jibu la swali hili ndio ilikua gateway ya matokeo yaliyotokea tangu hapo ?

What u doing for a living??
 
baby sitter,hahah ukimaaanisha YAYA,daa kiswahili nacho kina misamiati iko straight forward sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] af unakuta unaulizwa did u mean a military officer
[emoji23][emoji23]. Sema hawa wa kwetu kuulizwa ni baadae saana. Ila. Weupe on the sport kabla hata ya mazoea.
 
[emoji23][emoji23]. Sema hawa wa kwetu kuulizwa ni baadae saana. Ila. Weupe on the sport kabla hata ya mazoea.
Hawapendi lessproductive conection nachopenda wako wazi sana
 
kumbe mkuu kiingereza kinaficha mambo mengi?
Kiingereza ni lugha ya kujifunza kwa nguvu zote na akili yote. Haijawahi kuniangusha.

Nilishawai kupewa international status nchini Rwanda kisa nimevurumusha kiingereza fasaha kwenye presentation yangu na Dada zao jicho alikukatika kwangu kwa kipindi chote cha workshop. Usiulize kilichotokea punde baada ya hapo. Its a potential disaster.
 
Hahaha hongera mkuu,maana nahisi kazi ilikuwa safi baada ya hapo
 
Back
Top Bottom