mwiru jojo
Senior Member
- Feb 13, 2018
- 152
- 143
Kupaniki kunapagawisha .Naona umepaniki sana .....ukisikia paaa,,, katubuni dhambi zenu tumechoka kuombwa ushauri ....namalizia na kisunyoooo
Wee naye ndio Leo unamuona huyu mkuu mpaka uulizw jinsia ??.We ni Ke au Me twanzie hapo
Leo kaanza nanyinyi maana nimwanamke mwenzun anawajua vzur sana !!.kassimneema sijapanik ila ujumbe wako ulitakiwa uwagusie jinsia zote...mana wote huwa wanasaliti
Binafsi hadi sasa sijawahi kutembea na mume wa mtu
Asante Mama... Wanawake kama nyinyi ndo mnaopaswa kuolewa ,shida wanaume saivi niwachache tunaochagua sabab ya kichwa cha MTU.Sasa leo nimeamua kugusiwa wanawake wenzangu siku ingine wanaume sasa huko kutaka kunitukana halafu iweje?? Hata ww unaweza wafungulia uzi my dear ,,,
Mm nimechoka kuona tukiomba ushauri kila mahala ,,, ohh mume hiv mume vile kumbe ww mwenyew unajikuta unamadhambi yako yasostahimilika
LEO ANAZUNGUMZIA WANAWAKE.....Nilisema kutukana sio kukutukana...nilipokosea ni kusema huna akili,sorry hapo ndio nilikosea
Ila kivyovyote vile ujumbe uwahusu jinsia zote, wala sina haja ya kuanzisha uzi mpya kwa ajili yao
Haya mkuu nimemuelewaLeo kaanza nanyinyi maana nimwanamke mwenzun anawajua vzur sana !!.
hahahahaa kazi kweli kweli!!.Mkuu changia mada husika kama unacho cha kuchangia
hahaaa wanaita jicho LA mguu Panauma hapoKupaniki kunapagawisha .
Shida umegonga chuma kwenye mfupa Wa mguuu
Mi cjawahi muona. Kwani we unamjuaWee naye ndio Leo unamuona huyu mkuu mpaka uulizw jinsia ??.
comment ya kwanza tu ..ilikuwa na hilo swali ..wadangaji bhanaWamekuelewa Mama...... Wadangaji watakuuliza wewe ni jinsia gani ???.
Ulichosema nikweli ,tatizo hawapendi ..wamekuelewa ,wote wanaotembea nawaume za watu.
Anza uchunguzi upya utakesha kwenye maombi msikitin na kwa waganga kumtafuta mchawi wako ,,,Daaa mm ckuwagaa mlevii ilaaa tangu nimeanzaa kuishii na huyu mwanamkeee jaman jaman nimekuwaa cwez kurud nyumban bilaa kunywa japo bia tatu akilii initokee kidogo ..ilaaa nashangaa akisafirig najikutaa Cna hamu kbs na pombee
Bahati bukuku alisema "" Mimi ndo bwana shetan ,nikikukopesha deni langu,,lazima tu utalipa hata kama utachelewa kudaiwa".Malipo ya mkosaji lazima yalipwe hata kama utamhandle mwenza wako kwakumbeba wakati wote, kama ulitendea wenzako vibaya basi ujue yatakupata kwa kiwango kile kile, hii nikweli kabisa
Mimi simjui , ila naamin unamuonaga humuhumu JF kama mwanamke mwenzakoMi cjawahi muona. Kwani we unamjua
Nimeshajibu juu mimi n ke na ni mke wa mtu na maisha ni safiiiiiii sana mana nilishashtuka nikatubu [emoji1]Wamekuelewa Mama...... Wadangaji watakuuliza wewe ni jinsia gani ???.
Ulichosema nikweli ,tatizo hawapendi ..wamekuelewa ,wote wanaotembea nawaume za watu.
Hahahahaa hawakosekanigi hao ,,hasa pale interests zinapoingiliwa.comment ya kwanza tu ..ilikuwa na hilo swali ..wadangaji bhana
Hehehe leo umepatikana kwa ujuaji wako huoMkuu changia mada husika kama unacho cha kuchangia
maslahi yanatikiswa aiseee ...wanahisi kuwa soko litayumba ..hatari sana aiseeHahahahaa hawakosekanigi hao ,,hasa pale interests zinapoingiliwa.