mwiru jojo
Senior Member
- Feb 13, 2018
- 152
- 143
Daaa mm ckuwagaa mlevii ilaaa tangu nimeanzaa kuishii na huyu mwanamkeee jaman jaman nimekuwaa cwez kurud nyumban bilaa kunywa japo bia tatu akilii initokee kidogo ..ilaaa nashangaa akisafirig najikutaa Cna hamu kbs na pombee