What has Kenya done so wrong? Nigeria has just received her 16 coaches of EMU

What has Kenya done so wrong? Nigeria has just received her 16 coaches of EMU

Tatizo majirani zetu wana fake sana life sisi tunawachora tu halaf tunacheka hihihihi

Hatari ya ndege zenu kukamatwa, hivi hii aibu mtaacha lini
 
Hatari ya ndege zenu kukamatwa, hivi hii aibu mtaacha lini

Fungua uzi mwingine, utajadiliwa tu.
 
Huu uzi unaprove why Africa hatutaendelea....wazungu wanaungana kutukandamiza sisi tunaokandamizwa tunatengana
 
Waafrika tuungane tusichekane, tuwe kitu kimoja, African Blood sijui kizazi hiki cha leo kama kingeweza kusaidiana kupigania uhuru wa wenzao wanaotawaliwa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nyinyi hata hamna umeme wa kuendesha hayo matreni ya Dar- Moro Sjiara
Ndio kweli hatuna na ndio maana tumejenga tu mitungi ya changaa inayotumia diesel na kutoa moshi mwingi mnoo na kuchafua mazingira halafu tulikuwa na mpango wa kuzifanya ziwe zinatumia umeme hata hatujui tumekwama wapi tena.
 
Tunabaguana wenyewe kwa wenyewe, matatizo ya jirani ni furaha kwa mwingine hapana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Matatizo ya Tanzania Mkenya anacheka na Matatizo ya Mkenya Mtanzania anacheka huu sio utu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Unaweza kuchagua rafiki lakini kamwe huwezi kuchagua jirani sisi ni majirani na tuishi hivo, tulete challenge za maendeleo kwa lugha njema, wenzetu duniani waliahatuacha tupambane tujitahidi kulazimisha vikwazo vya was kibiashara viondolewe tuchape kazi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

at least wao aside mtambo huu wa chang'aa,

EQpkP3GU4AcQTRK


wameagiza hiki kitu!
EQpkP3HUUAEGWPe
 
Back
Top Bottom