Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
media yao inatoa povu balaa!Tatizo majirani zetu wana fake sana life sisi tunawachora tu halaf tunacheka hihihihi
Hahahha wazee wa twitter hao 😀media yao inatoa povu balaa!
Tatizo majirani zetu wana fake sana life sisi tunawachora tu halaf tunacheka hihihihi
Hatari ya ndege zenu kukamatwa, hivi hii aibu mtaacha lini
Janga lingine kwa ATCL, yaamuliwa na Mahakama ya Uingereza kulipa dola milioni 40
ATCL ordered to pay Liberian company $40 Million THURSDAY FEBRUARY 27 2020 By The Citizen Reporter. Dar es Salaam. Air Tanzania (ATCL) has suffered a blow after a United Kingdom court ruled that it will have to pay a Liberian company $30.1 million (Sh69.23bn) in compensation for an aborted...www.jamiiforums.com
Fungua uzi mwingine, utajadiliwa tu.
is it true >>>Fungua uzi mwingine, utajadiliwa tu.
Aisee kweli Ng’ombe wa maskini hazai
???
Ndio kweli hatuna na ndio maana tumejenga tu mitungi ya changaa inayotumia diesel na kutoa moshi mwingi mnoo na kuchafua mazingira halafu tulikuwa na mpango wa kuzifanya ziwe zinatumia umeme hata hatujui tumekwama wapi tena.Nyinyi hata hamna umeme wa kuendesha hayo matreni ya Dar- Moro Sjiara
pita kulee!Tunabaguana wenyewe kwa wenyewe, matatizo ya jirani ni furaha kwa mwingine hapana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Zenu ziko wapi na usiweke renders.at least wao aside mtambo huu wa chang'aa,
![]()
wameagiza hiki kitu!
![]()
Umeme mtatoa wapi? Ama unahepa swali langu kwa sababu hamna umeme?at least wao aside mtambo huu wa chang'aa,
![]()
wameagiza hiki kitu!
![]()