What if Everybody Gave Up!

What if Everybody Gave Up!

not even close to being possible ! next in line plz ! now whats the sympathy for ? mafisadi leo hawaongelewi ?
 
Kweli MUNGU ni wa ajabu
Nimejaribu kuangalia upendo wake sijawahi kuoona...anawapa jua Mafisadi na wasio MAFISADI...anawapa hewa MAFISADI na wasio MAFISADI...Zaidi ya yote alionifurahisha ni kitnedo cha kuwatenga MAFISADI na WACHUKIA UFISADI....Nimejaribu kuangalia je MUNGU ANGERUHUSU WOTE TUWE MAFISADI KWENYE EPA,KIWIRA,MEREMETA NANI ANGEMHOJI MWENZIE???

Mwacheni mungu aitwe MUNGU
 
Hii habari ya kuamini mungu ndio ufisadi mkubwa kuliko wote, mafisadi wanakushika sikio na concept ya mungu ili usiwa butcher kwa hasira, halafu wanaenda kanisani na msikitini wanakuwa wazee wa kanisa na masheikh na kutoa sadaka/dhaka unawaona watu wa maana.

Binadamu kamtengeneza mungu, wala hamna mungu.

Watu wa kwanza kuleta concept ya mungu walikuwa wanasiasa, mafisadi.Kwa hiyo kama kweli unapingana na ufisadi kitu cha kwanza kujua ni kwamba hamna mungu.Ni wewe tu na akili kumkichwa.
 
Mkuu,
Naona umepotea njia.
Mungu kuaminiwa hakuna mjadala kwetu.
Jisemee mwenyewe.
 
Kweli MUNGU ni wa ajabu
Nimejaribu kuangalia upendo wake sijawahi kuoona...anawapa jua Mafisadi na wasio MAFISADI...anawapa hewa MAFISADI na wasio MAFISADI...Zaidi ya yote alionifurahisha ni kitnedo cha kuwatenga MAFISADI na WACHUKIA UFISADI....Nimejaribu kuangalia je MUNGU ANGERUHUSU WOTE TUWE MAFISADI KWENYE EPA,KIWIRA,MEREMETA NANI ANGEMHOJI MWENZIE???

Mwacheni mungu aitwe MUNGU

Hivi ufisadi ni huo tu ulioutaja? kwa hali ya Tanzania believe me wengi ni mafisadi may be 98% ! Mungu hayupo hapa, maana yeye anasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa!

Hii habari ya kuamini mungu ndio ufisadi mkubwa kuliko wote, mafisadi wanakushika sikio na concept ya mungu ili usiwa butcher kwa hasira, halafu wanaenda kanisani na msikitini wanakuwa wazee wa kanisa na masheikh na kutoa sadaka/dhaka unawaona watu wa maana.

Binadamu kamtengeneza mungu, wala hamna mungu.

Watu wa kwanza kuleta concept ya mungu walikuwa wanasiasa, mafisadi.Kwa hiyo kama kweli unapingana na ufisadi kitu cha kwanza kujua ni kwamba hamna mungu.Ni wewe tu na akili kumkichwa.

1. Mkuu ni kweli kuwa misikitini na makanisani ndio kuna ufisadi sana
2. Ni kweli Mungu hili halimuhusu maana sheria na kanuni zake ziko tangu enzi hizo

ILA SI KWELI KUWA MUNGU HAYUPO, acha kujidanganya na kujiona umeendelea na kuwa na elimu sana kiasi cha kusema Mungu hayupo!

Evolution theories have arleady proclaimed failed unless uniambie babu yako alikuwa Nyani kwenye msitu gani ili tuone kama kuna nyani wengine wanatokea huko ili wawe binadamu.

You need to be careful though!

problem is that tunafuata dini blindly na kwa unafiki that is our biggest problem!
 
Hii habari ya kuamini mungu ndio ufisadi mkubwa kuliko wote, mafisadi wanakushika sikio na concept ya mungu ili usiwa butcher kwa hasira, halafu wanaenda kanisani na msikitini wanakuwa wazee wa kanisa na masheikh na kutoa sadaka/dhaka unawaona watu wa maana.

Binadamu kamtengeneza mungu, wala hamna mungu.

Watu wa kwanza kuleta concept ya mungu walikuwa wanasiasa, mafisadi.Kwa hiyo kama kweli unapingana na ufisadi kitu cha kwanza kujua ni kwamba hamna mungu.Ni wewe tu na akili kumkichwa.

HAPA UMEJICHANGANYA!nauamini sana uwezo wako wa kuchanganua mada,lakini sio katika hili!mungu akusamehe bure
 
Mungu yupo na ni mwema kwa kila mmoja wetu. Siku atakapotuhukumu
atawatenga wema na wabaya kwa hivi hata mafisadi nao bado wana nafasi kwa mungu siku ya hukumu ndio "utavuna ulichokipanda"
 
The Judeo-Christian god is a fallacious contradiction.

On the one hand, he knows everything, he knows your life from begining to end. And what he knows must be.There fore you have no free will.

On the other hand he proclaims to give you free will so that you can make a decision between choosing the righteous path and the wrong one, heaven and hell.

The two are mutually exclusive, one cannot reconcile the two in the same entity without resorting to the ambiguous call of a defeated deist "God works in mysterious ways". Based on this anything can be claim to be anything simply by invoking mystery.

Can anyone reconcile the two, if god knows everything,including the future, and what god knows will be will be due to his infallible omniscience, how can humans have free will.

I know the dogmatic chains of traditions are not easy to shatter, the bias of the spectacles of religion and fear stemming from a Pascal wager like insurance policy will never allow some to examine this in the right ligh.

Any society that cannot shake this tradition can very easily be manipulated, all it takes is some clever oratory steeped in the art of rhetoric riddled with the authority of some bishop, cardinal, pope or godhead.

I question everything.And so far god did not pass the test, actually the Judeo-Christian came out very low, sadistic, jealous, self-contradicting and not so much as a genius human being, forget a god.
 
Back
Top Bottom