What if? Ikiwa kuna siri ilifichwa hapa

What if? Ikiwa kuna siri ilifichwa hapa

donga

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
2,555
Reaction score
5,202
Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara hivi vipi mwisho wa siku ikija kujulikana kuna siri ilifichwa

●Yaani shetani tunayemkataa na kumtuhumu kwa kila baya ndio mungu mwenyewe

●Na mungu tunayemuomba ndio shetani

Ila wajanja wa hii dunia walibadili story ili mmoja apewe promotion

N:B sina nia mbaya ila nauliza tu what if maana watu wengi tunameza tu maandiko tulioletewa bila kujudge
 
Afanyae matendo mazuri ndomungu
Mambo ya kufikirika na wajinga wanaamini huu uongo.

, sasa wewe fanya mabaya kama Kuna Mungu anapenda wafiraji, wauwaji na Malaya
Sawa lakini kwanini nimeandika haya
Nimewaza mfano asili ya dini baadhi km LUTHERANI NI UINGEREZA.. sasa kwanini wameleta dini ya kumuabudu mungu lakini viongozi hao hao wanahamasisha USHOGA? km kuna something smell fishly
 
Waliendelea hasa matajiri wameshagundua hiyo siri. Ukimuomba shetani unapata chapchap.
 
Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara hivi vipi mwisho wa siku ikija kujulikana kuna siri ilifichwa

●Yaani shetani tunayemkataa na kumtuhumu kwa kila baya ndio mungu mwenyewe

●Na mungu tunayemuomba ndio shetani

Ila wajanja wa hii dunia walibadili story ili mmoja apewe promotion

N:B sina nia mbaya ila nauliza tu what if maana watu wengi tunameza tu maandiko tulioletewa bila kujudge
Kama unaona kuwa shetani ndio Mungu basi umwabudu uone muziki wake.
 
Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara hivi vipi mwisho wa siku ikija kujulikana kuna siri ilifichwa

●Yaani shetani tunayemkataa na kumtuhumu kwa kila baya ndio mungu mwenyewe

●Na mungu tunayemuomba ndio shetani

Ila wajanja wa hii dunia walibadili story ili mmoja apewe promotion

N:B sina nia mbaya ila nauliza tu what if maana watu wengi tunameza tu maandiko tulioletewa bila kujudge
Hakuna Mungu wala shetani, zote hizo ni hadithi za watu tu.

Kama unabisha, thibitisha wapo.
 
Kuwachoma watu kwenye moto wa milele ni tendo jema?
Mkuu ili suala la moto halipo ni upotoshaji tu ili Mungu aonekane katili.
Tunajua kuwa Yesu alikufa kwa niaba yetu yaani alibeba kile tulichostahili au niseme HE DIED TO CANCEL THE LEGAL REQUIRMENT OF THE LAW hukumu tuliyostahili ni kifo yaani kutokupepo na si moto.
Kama adhabu ingekuwa moto na yeye Yesu alipaswa kwenda motoni ili kulipia tulichostahili lakini hakwenda ikimaanisha moto haupo.
Pia waroma 6:23 inasema: "KWA MAANA MSHAHARA AMBAO DHAMBI HULIPA NI KIFO." kwani moto umetajwa hapo..

Kwa upande mwingine shetani anatumia dini kupotosha wanadamu.
No wonder biblia inasema anaendelea kujifanya malaika wa nuru.
 
Nahisi kuna mda Muumba huwa anawaza kuna watu aliwapa ubongo kwa bahati mbaya. Au labda aliweka ubongo tumboni af utumbo akauweka kichwani. Hii ni mada ya pili inayo question God powers naisoma in two days. Mmechanganyikiwa?
 
Back
Top Bottom