Mkuu ili suala la moto halipo ni upotoshaji tu ili Mungu aonekane katili.
Tunajua kuwa Yesu alikufa kwa niaba yetu yaani alibeba kile tulichostahili au niseme HE DIED TO CANCEL THE LEGAL REQUIRMENT OF THE LAW hukumu tuliyostahili ni kifo yaani kutokupepo na si moto.
Kama adhabu ingekuwa moto na yeye Yesu alipaswa kwenda motoni ili kulipia tulichostahili lakini hakwenda ikimaanisha moto haupo.
Pia waroma 6:23 inasema: "KWA MAANA MSHAHARA AMBAO DHAMBI HULIPA NI KIFO." kwani moto umetajwa hapo..
Kwa upande mwingine shetani anatumia dini kupotosha wanadamu.
No wonder biblia inasema anaendelea kujifanya malaika wa nuru.