FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kukubaliana nini? Kuna makubaliano ya kufanya uovu kama huo kumbe?Si kuna makubaliano?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukubaliana nini? Kuna makubaliano ya kufanya uovu kama huo kumbe?Si kuna makubaliano?
Mkuu dhambi wanadamu wote tunayo tumerithi kutoka kwa adamu(waroma 5:12)Hahahah..., kwahiyo adhabu ya kile mmachokiita dhambi ni kifo na sio moto au sio? Nashangaa vile vichanga vya tumboni vina dhambi gani hadi vife kabla havijapata fursa ya kutenda dhambi
Lutheran ni german dogo acha kukurupukaSawa lakini kwanini nimeandika haya
Nimewaza mfano asili ya dini baadhi km LUTHERANI NI UINGEREZA.. sasa kwanini wameleta dini ya kumuabudu mungu lakini viongozi hao hao wanahamasisha USHOGA? km kuna something smell fishly
Si tumeshaondolewa hiyo dhambi na Yesu au?Mkuu dhambi wanadamu wote tunayo tumerithi kutoka kwa adamu(waroma 5:12)
Mpaka kumwamini mkuuSi tumeshaondolewa hiyo dhambi na Yesu au?
Walimu walimfilimba huyo dogo, tangu hapo hana hamu nao.Vipi walimu wataiona pepo??
Hoja dhaifu,viongozi wanahamasisha ushoga na sio Mungu.Sawa lakini kwanini nimeandika haya
Nimewaza mfano asili ya dini baadhi km LUTHERANI NI UINGEREZA.. sasa kwanini wameleta dini ya kumuabudu mungu lakini viongozi hao hao wanahamasisha USHOGA? km kuna something smell fishly
Hoja dhaifu,viongozi wanahamasisha ushoga na sio Mungu.
Dogo hii mada imekuzidd
Hio ni hadithi za vitabu umevikuta nakuzishika je unauhakika kilichoandikwa ni cha kweli?Mungu Ni muumba wa mbingu na nchi itakuaje awe shetani Tena
Ushawai jiuliza je icho ulichopewa na wazungu na kukiweka kichwani km bible na vitabu vingine ni vya kweli? Au umechukua kama vilivyo?Unapomua kuanzisha nada kubwa kama hii..
Sharti uwe na hoja za kufikirisha vichwa vya watu vinginevyo tutasema umelewa pombe za kienyeji...
Kwa mfano useme hivyo halafu utoe mfano kwamba kwenye biblia Mungu alimtaka flani atoe mwanae kama kafara na huku kwa waganga wa kienyeji, mganga anataka utoe mtoto km kafara ya utajiri na uthibitisho wa Utii
Yaani njoo na mifano na hoja..
Waazilishi wa dini ndio waazilishi wa dhambi hapa dunianiHata shetani ukimuomba kwa imani unafanikiwa sana na fahari za duniani utazienjoy balaa, watu wengi maarufu na ma tycoon duniani ni wafuasi wa shetani. Kimbembe ni maisha mapya baada ya duniani.
We unataka semajeHio ni hadithi za vitabu umevikuta nakuzishika je unauhakika kilichoandikwa ni cha kweli?
Yeah nakubal mkuu ila somo limeelewekaUnapomua kuanzisha nada kubwa kama hii..
Sharti uwe na hoja za kufikirisha vichwa vya watu vinginevyo tutasema umelewa pombe za kienyeji...
Kwa mfano useme hivyo halafu utoe mfano kwamba kwenye biblia Mungu alimtaka flani atoe mwanae kama kafara na huku kwa waganga wa kienyeji, mganga anataka utoe mtoto km kafara ya utajiri na uthibitisho wa Utii
Yaani njoo na mifano na hoja..
Lolote laweza kuwa sahihiWe unataka semaje
Asili ya Lutheran ni Uingereza ??,,,rudi darasani Jomba,,Sawa lakini kwanini nimeandika haya
Nimewaza mfano asili ya dini baadhi km LUTHERANI NI UINGEREZA.. sasa kwanini wameleta dini ya kumuabudu mungu lakini viongozi hao hao wanahamasisha USHOGA? km kuna something smell fishly
Mkuu,Mkuu there's plenty of evidence all around you.
Hivi ukiangalia complexities in nature unafikiri zilikujaje?? Naomba jibu..
Mkuu,
Swali zuri sana.
Hii hoja nimeijibu mara nyingi hapa, labda hujanifuatilia tu.
Hoja kwamba complexity inahitaji muumba aliye na intelligence na complexity kubwa zaidi, kwa kweli inatuonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Hoja yako inaonesha Mungu huyo hayupo na hawezi kuwepo, ingawa wewe ukiiangalia kijuu juu unaona ni hoja ya kuonesha Mungu huyo yupo.
Kwa nini nasema hivyo?
Ikiwa vitu complex vinahitaji muumba mwenye intelligence na complexity kubwa zaidi, basi inawezekana kweli kuna Mungu kaumba ulimwengu huu, lakini, hapo hapo utarudi kwenye swali, kama Mungu huyo ni intelligence na complex, na tumeshasema complexity haiwezi kuwapo bila kuumbwa na intelligence na complexity kubwa zaidi, na huyu Mungu naye atahitaji awe kaumbw ana Mungu wake mwenye complexity na intelligence zaidi, na Mungu wake huyo naye atahitaji awe ameumbwa na M
Hayo ni maandishi tu, unajuaje kwamba ni ya kweli na si hadithi za watu kudanganyana tu?Mkuu zaburi 93:20 inajibu:"UMEKUWAPO TANGU MILELE."