Mkuu there's plenty of evidence all around you.Hakuna Mungu wala shetani, zote hizo ni hadithi za watu tu.
Kama unabisha, thibitisha wapo.
Church of England wamekataa kuozesha mashoga na huu mjadala umechukua miaka mingi mpaka kufikia maamuzi hayaSawa lakini kwanini nimeandika haya
Nimewaza mfano asili ya dini baadhi km LUTHERANI NI UINGEREZA.. sasa kwanini wameleta dini ya kumuabudu mungu lakini viongozi hao hao wanahamasisha USHOGA? km kuna something smell fishly
Uwongo, Mungu wa waislam sio Mungu wa wakristo, wala sio Mungu wa wahindu, Budhist nk.Ndio shetani ni mungu ila Mungu ni Mungu wa wote
Mungu Ni muumba wa mbingu na nchi itakuaje awe shetani TenaNimekuwa nikijiuliza mara kwa mara hivi vipi mwisho wa siku ikija kujulikana kuna siri ilifichwa
●Yaani shetani tunayemkataa na kumtuhumu kwa kila baya ndio mungu mwenyewe
●Na mungu tunayemuomba ndio shetani
Ila wajanja wa hii dunia walibadili story ili mmoja apewe promotion
N:B sina nia mbaya ila nauliza tu what if maana watu wengi tunameza tu maandiko tulioletewa bila kujudge
Siku nyingine ili uwe na nondo za kutosha ,ukiweka bandiko unaachia na rejea kumaliza kabisa.kama hapo uliposema viongozi flani wa dini flani wamehamasisha ushoga unaweka na bandiko la hao viongozi kimaliza mjadalaSawa lakini kwanini nimeandika haya
Nimewaza mfano asili ya dini baadhi km LUTHERANI NI UINGEREZA.. sasa kwanini wameleta dini ya kumuabudu mungu lakini viongozi hao hao wanahamasisha USHOGA? km kuna something smell fishly
Mimi sijasema mungu wa kiislam au kibudhaaa nimesema Mungu wa wote Mungu wa MiunguUwongo, Mungu wa waislam sio Mungu wa wakristo, wala sio Mungu wa wahindu, Budhist nk.
Mwalimu sawa sawaAfanyae matendo mazuri ndomungu anataka, sasa wewe fanya mabaya kama Kuna Mungu anapenda wafiraji, wauwaji na Malaya kupundukia
Si kuna makubaliano?Kuwachoma watu kwenye moto wa milele ni tendo jema?
Hii inafikilisha kwakweli[emoji848]Waliendelea hasa matajiri wameshagundua hiyo siri. Ukimuomba shetani unapata chapchap.
Safi kabisa mshahara wa dhambi ni mauti na mtu akishakufa amekufa ndio mwisho wake uo umeishia hapo hakuna cha motoni wala peponi.Mkuu ili suala la moto halipo ni upotoshaji tu ili Mungu aonekane katili.
Tunajua kuwa Yesu alikufa kwa niaba yetu yaani alibeba kile tulichostahili au niseme HE DIED TO CANCEL THE LEGAL REQUIRMENT OF THE LAW hukumu tuliyostahili ni kifo yaani kutokupepo na si moto.
Kama adhabu ingekuwa moto na yeye Yesu alipaswa kwenda motoni ili kulipia tulichostahili lakini hakwenda ikimaanisha moto haupo.
Pia waroma 6:23 inasema: "KWA MAANA MSHAHARA AMBAO DHAMBI HULIPA NI KIFO." kwani moto umetajwa hapo..
Kwa upande mwingine shetani anatumia dini kupotosha wanadamu.
No wonder biblia inasema anaendelea kujifanya malaika wa nuru.
@Mshana Jr njoo hapaNimekuwa nikijiuliza mara kwa mara hivi vipi mwisho wa siku ikija kujulikana kuna siri ilifichwa
●Yaani shetani tunayemkataa na kumtuhumu kwa kila baya ndio mungu mwenyewe
●Na mungu tunayemuomba ndio shetani
Ila wajanja wa hii dunia walibadili story ili mmoja apewe promotion
N:B sina nia mbaya ila nauliza tu what if maana watu wengi tunameza tu maandiko tulioletewa bila kujudge
@Mshana Jr@Mshana Jr njoo hapa
Hahahah..., kwahiyo adhabu ya kile mmachokiita dhambi ni kifo na sio moto au sio? Nashangaa vile vichanga vya tumboni vina dhambi gani hadi vife kabla havijapata fursa ya kutenda dhambiMkuu ili suala la moto halipo ni upotoshaji tu ili Mungu aonekane katili.