Mtume Muhammad (SAW) alipoulizwa na maswahaba wake juu ya Ishara kubwa za Kiyama; alizitaja 10 moja wapo ikiwa ni Ujio na Utawala wa Masihi Dajaad (Lucifer). Ambapo atajitanabaisha kama Mungu, na wote watakao mpinga watauliwa. Ingawa kuuliwa kwao itakuwa ndio kufaulu kwao kwa Kumkana shetani aliyejidhihirisha; na kumuamini Allah (Mola mmoja, Muumba). Watakao ishi ni wale tu watakao mtii yeye ambapo watakuwa wameangamia mbele ya Mungu.
Watu wanapaswa kumshika an Mungu ktk kipindi hiko (yaani zama hizi sasa). Malipo yao yatakuwa ni makubwa kuliko zama zozote zile. Pia ktk kipindi hicho waislamu watapingwa kila kona kwa vile Imani yao ni thabit na wanamwamini Mungu mmoja wa kweli.
Anaeleza pia Allah ktk Quran Surat Izaajaa...Kuwa hatimaye utawaona watu wakiingia ktk dini ya mwenyezi Mungu makundi makundi..(lakini itakuwa too late mithiri ya siku za mwisho za Farao).
So, suala hilo ni laukweli kabisa kwa Ref. ya Mafundisho ya Mtume Muhammad S.a.w na Quran. Ni muhimu kwa tuliojisahu kumrejea, kumtegemea, na kumuamudu Mola muumba.