Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Tunataka kuamini au hatutaki,ukweli ndio huo NWO iko tayari,na vitu kama matumizi ya card na Bar cod ni
moja ya vitu vinavyokwenda kukamilisha maandalizi ya NWO na Mpinga Kristo kutawala dunia kwa maana hivi
vinatupeleka kwenye cashless mabayo itatimiza andiko la hawatanunua wala kuuza mpaka kuwa na chap ya Mpinga Kristo
Maajabu haya....Nyinyi watu sijui nani kawaloga jamani.....