Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Ukweli gani we mpu.mba vu ......Aliokuambia kwamba huo upuuzi unaouita ukweli kwako na ukweli kwa wote ni nani.....??????
Hakika Wasabato mmelaniwa mbinguni na Duniani....
Nafikiri hiyo General Conference itakayo kaa mwakani na kufanya Reformation ya kaanisa lenu (cult) pia injinia wa hiyo GC ni Roma ehhh....???
Endelea kuruka ruka na ngonjera zako za lesson ambazo zimewapumbaza akili zenu nyie wafuasi wa Kahaba..
Baada ya reformation hiyo nasikia utaanzisha dhehebu lako (Another cult) litakalo julikana kama Sabato Marekebisho maana freemason watakuwa wamevamia SDA(cult) ya Marekani.......
Sio freemason ni UROMA WA KIPAGANI NDIO UNAOFANYA KZ KWA KUJIFUCHA YA PAZI YA MAWAKALA WAO.
Wewe ubishe ukatae lkn huo ndio ukweli!