CUTE
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 1,229
- 592
amtumie akati anamuogopa vibaya mnoo hapo anatetemeka balaaaaaa buluuuuMtumie PM
amtumie akati anamuogopa vibaya mnoo hapo anatetemeka balaaaaaa buluuuuMtumie PM
Dah! Haya naisubiri hiyo post kwa hamu. I hope haitanikosesha mume! LOL!Nasema! Angalia hapo kwenye bold. Kwani mimi sistahili kukufahamu/kukujua? Nasoma sana post zako/michango yako ambayo imeniintroduce kwako. Nitaleta thread hapahapa cc juu ya posts zako, vuta subira utaiona.
Dah! Haya naisubiri hiyo post kwa hamu. I hope haitanikosesha mume! LOL!
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Kukukosesha mume? Una maana gani? Hiyo post ntakayoleta itakuweka kwenye chati ya juu sana na watakavyofurika kwako itabidi utafute namna ya kuwakwepoa. Hata huyo uliye naye kwa sasa ataganda zaidi akisoma hiyo post.