Nasema! Angalia hapo kwenye bold. Kwani mimi sistahili kukufahamu/kukujua? Nasoma sana post zako/michango yako ambayo imeniintroduce kwako. Nitaleta thread hapahapa cc juu ya posts zako, vuta subira utaiona.
Kukukosesha mume? Una maana gani? Hiyo post ntakayoleta itakuweka kwenye chati ya juu sana na watakavyofurika kwako itabidi utafute namna ya kuwakwepoa. Hata huyo uliye naye kwa sasa ataganda zaidi akisoma hiyo post.