Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
-
- #21
Itatusaidia sana aiseeNa kupata hardware zao kwa Kenya ni USD625, shipping USD22...
Kwa Bongo sasa hivi nimeona mtu anaweza aka-order, charges ni USD 9...
ExactlyMbona itakuwa bei nzuri sana aise!
Ina maana bado tunaweza kupatikani kupitia Kenya, bila kuruhusiwa na sirikali yetu?Na kupata hardware zao kwa Kenya ni USD625, shipping USD22...
Kwa Bongo sasa hivi nimeona mtu anaweza aka-order, charges ni USD 9...
Hii kitu inapambaniwa sana kote duniani ila sisi Tanzania wakubwa hawaitaki kwa maslahi yao binafsiSatellite internet is wireless internet beamed down from satellites orbiting the Earth. It’s a lot different from land-based internet services like cable or DSL, which transmit data through wires running underground. Since it’s the only internet service that’s available nationwide, satellite internet is a reliable way to get online for many rural homes and businesses, although it does still come with a few disadvantages (more on that later).
HughesNet and Viasat are the two primary residential satellite internet providers in the US. Starlink (from SpaceX) has recently become available, and Project Kuiper (from Amazon) will also offer satellite internet service.
If you’re looking for a mobile solution for a boat, truck, or RV, check out our guides to the best internet for RV and best internet for boats.
The best satellite internet providers
1.starlink $90.00–$250.00/ Data 1TB speed Up to 100Mbps Installation $599.00–$2,500.00
2.viasat $69.99–$299.99/mo. Data 25–500GB/ Installation free speed up 12–100 Mbps
Satellite internet uses a five-part relay system:
Internet-ready device
Modem/router
Satellite dish
Satellite in space
Network Operations Center (NOC)
Itatusaidia sana aisee
Ina maana bado tunaweza kupatikani kupitia Kenya, bila kuruhusiwa na sirikali yetu?
46 USD, Bado ni nafuu mkuu kwa speed ya 150-250Mbps, kwa speed hii hata mkiwa wawili iko poa sana, kumbuka voda watu wanalipa 115,000 kwa speed ya 20mbps nafikiri huu ni wizi wa kiwango cha lami.😀
Installation ni free na monthly package ni elfu 70 hahaha hebu futa haraka hiyo maneno...
Mfano Kenya kwa sasa wanalipa USD 46, so hata huduma zao zikifanikiwa kuanza Bongo bei haitakuwa mbali na hiyo (sijui mwaka gani maana wanabaniwa na akili mdogo CCM)
Amini kaka huu mchakato yule napa ndo anawakazia hawa jamaa yule mshamba sana naskia alifeli form 4 ni kilaza ndo maana anapandisha bei juu sana data yaani tunashindwa hadi na rwanda na burundi ukiwa izo nchi ukiwa na buku 2 unapata gb 30 usiku kucha huku bongo vifurushi vya usiku vilipigwa panga shwaaaTatizo ni "wazee wa 10%" kama kawaida yao wamemfungia vioo Elon kwa sasa kwa kisingizio cha sijui awe na ofisi locally na ushenzi mwingi wa huduma kwa wateja...
Wanajua jamaa akianza kupiga mzigo, makampuni yao ya simu yatabakia kuwa watoa huduma wa sauti na miamala tu...
Ni wapumbavu sana ni genge la nape na wajinga wenzieHii kitu inapambaniwa sana kote duniani ila sisi Tanzania wakubwa hawaitaki kwa maslahi yao binafsi
46 USD, Bado ni nafuu mkuu kwa speed ya 150-250Mbps, kwa speed hii hata mkiwa wawili iko poa sana, kumbuka voda watu wanalipa 115,000 kwa speed ya 20mbps nafikiri huu ni wizi wa kiwango cha lami.
Kabisa kaka ila spidi ni unlimited na sio mbps 25046 USD, Bado ni nafuu mkuu kwa speed ya 150-250Mbps, kwa speed hii hata mkiwa wawili iko poa sana, kumbuka voda watu wanalipa 115,000 kwa speed ya 20mbps nafikiri huu ni wizi wa kiwango cha lami.
Kabisa wenzetu msumbiji na rwanda mixer kenya wana enjoy sanaSure 46USD bado ni nafuu na hapo ndio hofu inapowatanda mabwanyenye walioshikilia soko la internet...
Huduma yake ilikuwa ianze Q1 ya mwaka huu, baadaye ikabidi asogeze hadi Q3 lakini hakuna dalili kama kweli atafanikiwa maana Q3 inaisha Septemba...
Achana nao kaka skuiz vifurushi vya bei nafuu ni sme na vodacom supakasi TTCl ni kausha damuNimeshindwa kuelewa kuhusu TTCL!
Hivi ina maana nikitaka intaneti yao niwahonge ndio waje kunifungia?
Nilienda kujaza fomu, halafu wakasema tunakuja kesho, ikawa jiiiiii!, kila nikipiga kuuliza inakuwa tunakuja kesho.....
Aisee, hivi kweli hili ndio shirika la taifa la mtandao linalotaka kushindana na makampuni ya binafsi yanayonibembeleza kuvuta intaneti zao?
Oohhh sawa ngoja waje...tuone ....Kwa mwezi ni elfu 70 alisema elon musk alafu Installation ni free ila kwa marekani ni usd 500
Bandwidth ni unlimited, maana naskia data cap ya 1TB ilitolowa, ila speed haizidi 250mbps mkuu, fatilia vizuri.Kabisa kaka ila spidi ni unlimited na sio mbps 250
Duu ila kwa spidi hiyo bado ni kalii sana yaan saanaBandwidth ni unlimited, maana naskia data cap ya 1TB ilitolowa, ila speed haizidi 250mbps mkuu, fatilia vizuri.
Yah, iko poa sana, na imagine let say, hapo tufanye iwe ni 150mbps average, ukigawanya kwa ile supakasi ya voda ya 20mbps ni kama, 7.Duu ila kwa spidi hiyo bado ni kalii sana yaan saana
Kabisa kaka supakasi wanatuzingua sana eti spidi ni mb 20🤣🤣🤣Yah, iko poa sana, na imagine let say, hapo tufanye iwe ni 150mbps average, ukigawanya kwa ile supakasi ya voda ya 20mbps ni kama, 7.
So utaona hata maskini wa mwisho hii tanzania wakiungana wa 5, watatoa 22,000 each kwa mwezi, watakua wamepata zaidi ya supakasi ya voda. Wanaweza kua wanachezea kwenye 30mbps, kwakua wamepungua na speed itafika 200mbps muda mwingine.