What Is Satellite Internet?

What Is Satellite Internet?

Kiingereza rahisi kabisa japo waziri aliyepata vibendera kidato cha 4 haelewi na hatokuja kuelewa internet kwa zama hizi sio anasa bali ni hitaji la msingi sana.
 
Setelite za internet zipo mda mrefu sema watanzania mpaka wasikie mtu maarufu kaweka.
Halmashauri nyingi za mikoani zilikuwepo.

Huduma hii zipo mda mrefu na Kuna makampuni kibao na unaweza kuorder vifaa vikaja.
Sema wameshasikia ni eleon musk tu ndio mtoa huduma wakati hipo muda mrefu.

Eleon musk umaarufu wake hata kama akitoa kitu kinachofanana na wengine kitaonekana kina muitikio mkubwa mfano iphone alivozindua type c ya iphone 15 wakati ni ya mda mrefu.
Satelite intermet iliyokuwepo kitambo ilikuwa ni industrial level ndo mmaana unaongelea halmashauri , instalation ya raha au simba net ilikuwa inafika hadi dola 15000 .hii ya elon musk ni satelite kwa level ya familia ambayo hata mtu binafsi anaweza ku afford
 
Supakasi nilisoma maelezo yao nikaona bado sana kwa sisi masikini ku afford hiyo huduma .
Saiv wamepunguza ni 70k unapata huduma hata airtel nao wana huduma kama supa kasi
 
Satellite internet is wireless internet beamed down from satellites orbiting the Earth. It’s a lot different from land-based internet services like cable or DSL, which transmit data through wires running underground. Since it’s the only internet service that’s available nationwide, satellite internet is a reliable way to get online for many rural homes and businesses, although it does still come with a few disadvantages (more on that later).

HughesNet and Viasat are the two primary residential satellite internet providers in the US. Starlink (from SpaceX) has recently become available, and Project Kuiper (from Amazon) will also offer satellite internet service.

If you’re looking for a mobile solution for a boat, truck, or RV, check out our guides to the best internet for RV and best internet for boats.

The best satellite internet providers
1.starlink $90.00–$250.00/ Data 1TB speed Up to 100Mbps Installation $599.00–$2,500.00

2.viasat $69.99–$299.99/mo. Data 25–500GB/ Installation free speed up 12–100 Mbps
Satellite internet uses a five-part relay system:

Internet-ready device
Modem/router
Satellite dish
Satellite in space
Network Operations Center (NOC)
I need this service, where to start?
 
💯💯💯
How... ? Because every Internet request will be sent to their server first then handshake establishment will be followed with redirection to the particular web host.

So my worries is.. I think there's something about data espionage (Data harvesting).. let's wait and see.
 
46 USD, Bado ni nafuu mkuu kwa speed ya 150-250Mbps, kwa speed hii hata mkiwa wawili iko poa sana, kumbuka voda watu wanalipa 115,000 kwa speed ya 20mbps nafikiri huu ni wizi wa kiwango cha lami.
Acheni kuita watu wezi katika soko huria...ametangaza bei...mteja akajipima akanunua! kutokea mwenye bei ndogo hakumfanyi mwenye bei kubwa kuwa mwizi....ifikie hatua tubadilike soko huria ni una uhuru wa kuchagua....
 
Acheni kuita watu wezi katika soko huria...ametangaza bei...mteja akajipima akanunua! kutokea mwenye bei ndogo hakumfanyi mwenye bei kubwa kuwa mwizi....ifikie hatua tubadilike soko huria ni una uhuru wa kuchagua....
Sawa angalia part zingine za dunia gharama z internet wanalipaje, then ulete mrejesho, ndo utaelewa kwanini nasema wanaiba.
 
Kiufupi tu hakuna kitu inaitwa satellite internet, bali kuna huduma ya kufungiwa wife na kifaa ambacho kinakupa huduma kwako ambacho nacho kinapata mawasiliano kutoka kwa mawakala wa mitandao kama Vodacom ambao hawa wana minara ya simu kila mahala.

Hawa jamaa wanatudanganya sana, hizo satellite internet Hazitumiki na indivudual customers, hizo mala nyingi hutumiwa na jeshi ama taasisi za kiserikali ambazo hufanya mawasiliano ya siri ama taasisi ambazo hazitaki kushare njia moja ya mawasiliano na public users.

Ngumu kujua haya mambo lkn ndio ukweli huu, kibongo bongo na afrika hatuna mwenye ubabe wa kumiliki frequencies za satellite kwaajili ya internet tu, ili ufanye mawasiliano/huduma ya internet kupitia satellite itamlazimu mtoa huduma ama mmiliki asimamishe baadhi ya satellite zake zisizunguke mahala tofauti na nchi yako ama eneo lako ili kuondoa tatizo la mawimbi kukwama, maana ili upate mawimbi ya satellite ni lazima muwe ktk the same position/motion ili kuzuia mawimbi kukwama hivyo itailazimu satellite isizunguke nje ya eneo lako.

Huu ndio ukweli hutokaa uujuwe na ndio upigaji wa huyo jamaa elon musk, hakuna kitu inaitwa satellite internet, hata Tv na madishi ya TV yanapata mawasiliano kutoka kwenye minara ya watoa huduma mfano Azam, Dstv the same thing kwa Google map/GPS ambazo zinafanya kazi ukiwa connected na internet yenye mawasiliano kutoka katika minala ya mtoa huduma(voda, tigo nk)

Africa kama sio dunia nzima hakuna individual communication through the satellite, nawafumbua macho na masikio watanzania wenzangu tusipigwe tena[emoji23]
 
Back
Top Bottom