Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,386
- 6,473
Wahuni hawa wanatakiwa wabadiri majina wasiite satellite internet bali waite mashirika yanayotoa huduma ya internet nje ya makampuni ya simu kama vodacom, hawa jamaa hawana satellite wala hawatumii satellite kutupa internet wanatumia minala kama ya voda na tigo, ila kwa ujinga wetu wanatudanganya ili watupige pesa.Kuna washenzi fulani wanaitwa Konnect nao wanatoa internet via SAT, installation kit yao eti ni 1.6 mil hivi TZS...
Halafu bundle ya bei chee ni 60k, with 20Mbps, guaranteed unlimited speed for first 5GB, then wanashusha hadi 1Mbps ukimaliza 5GB za mwanzo...jamaa wanachekesha kweli hawa
Tanzania hakuna mwenye uwezo wa kuafford bei ya internet kupitia satellite, maana satellite moja tu haitoshi kutoa huduma kwa zaidi ya kilometa 300, je watatumia satellite ngapi kutoa huduma kwa hao few separated customers nchi nzima, maana kila satellite inapomove away kutoka kwako hapa ground hata frequencies strength za network zinapungua na kufanya mtandao wako kushuka, hivyo italazimka kila mkoa ama wilaya iwe na satellite yake isiyo move ili kuzuia mawimbi kuyumba[emoji23].
Je mtaweza bei ya kusimamosha satellite ya mabilion isizunguke nje ya eneo lenu kisa internet mnayolipa haifiki hata robo ya kurusha satellite angani?[emoji23]
Tunapigwaa kijanja.
Nasisi watanzania tusome tuwe tunawapiga hela wazungu kupitia Heaven internet tuwadanganye inatoka peponi[emoji16]