What is the biggest lie you have ever told Or heard on JF?

What is the biggest lie you have ever told Or heard on JF?

Uwepo wa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ndio uongo mkubwa kabisa niliowahi kusoma JF.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nimecheka Sana hii comment
 
Mtu anaishi mbelezz halafu ananikopa Eva mimi tsh 5000 [emoji849]
Hahaha.....

Mbele nako kuna muda mambo yanabana...ila kazingua maana mbele hata ya Asia elfu 5000 hununui mkate na coke 2l.
 
Kuna yule mmoja aliniambia PM baba yake ni Ridhiwan Kikwete kwa hiyo nisiwe na shida kwenye suala la pesa
Akasema atakuwa ananipa 300K kila siku kama nitakubali kuwa nae

Badae nikaja kujua ni kapuku mwenzangu anasoma zake hapa MUHAS
[emoji23][emoji23][emoji23] jtatu ukitoka Emergency Department au internal medicine njoo CPL nikupeleke Villa Cafeteria uonane na muongo mwenzio..
Ukinikosa CPL utanikuta JKCI nikimsaidia Dr Janabi kutibu wagonjwa.
 
Uongo niliodanganya humu siwezi hata kuandika. Muhusika anisamehe tu (katika mahusiano).Na nimeacha hayo mambo
Haujaacha....ungekuwa umeacha usingeogopa kuuandika.

Inaonekana kuna kadada kamoja bado unakaongopea.
 
Ndo kwanza hata mwezi sijafikisha,nasubiri sijui huko mbeleni 😁😁
 
Back
Top Bottom